Nini kinaendelea mradi wa mji mpya wa Kigamboni?

Status
Not open for further replies.

Dubai Market

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
1,127
Reaction score
1,525
Habari wanajamii,

Tafadhali naomba kuwasilisha kwa mtu yeyote ambaye anajua au kufahamu kuhusu mradi wa Mji mpya Kigamboni Je, bado upo? Kama ni ndio unaanza lini? Utaratiabu wa fidia kwa watakaotakiwa kuhama upoje?

Tafadhali kama kuna yeyote mwenye ufahamu wa haya au zaidi awasilishe.
Ahsante!
 
Mambo yote Dodoma sasa
 
Huo mradi ni tofauti na ule wa Avic town?
 
Mradi umekufa
Kila mtu ajenge kivyake au atafute mbia
 
Huo mradi ni tofauti na ule wa Avic town?

avic_city_kigamboni_02.jpg
bird view.jpg
bird view.jpg
bird.png
 
Angalia ule wimbo wa kule kwetu na nyang'anyua wa Shishy baby kuona nyumba za Avic town.. Kuhusu mradi wa Dege eco village ndo umesimama ila structures zishajengwa...
 
Project zote zimesimama, Dege eco village naona zile structures zitaozea pale, massive investment ambayo imesimama na sijui shida ni nini, al least wakulima housing pale gezaulole inaendelea.. NHC pia naona nao mradi wa KAWE nao umesimama.. Labda hela inaenda kujenga viwanda na mji mkuu Dodoma.
 
tunahakiki watumishi hewa

alafu tutahakiki DNA za watumishi

alafu tutahakiki ndoa za watumishi

tukitoka hapo tutahakiki watoto wa watumishi wa kike kama ni wa baba zao kiukweliii baada ya hapo ndo tutaifikiria kigamboni
Umesahau uhakiki wa matumizi ya mshahara anaopewa mtumishi!
Watumishi wa umma kazi wanayo!
 
Nahisi wameset mji then kuna sehem ni miradi itakayoendelezwa,na mingine inaendelea kujengwa na ipo ambayokila mtu ajenge kivyake lakini structure ya mji iwe vile vile.
 
Nipo hapahapa Tanzania tena nna nyumba ya urithi IPO huko huko Kigamboni lakini sijaona ushirikishwaji wowote kuhusu huo mradi
Mkuu una haki ya kufanya chochote hapo,Lukuvu kajitoa mchana peipeee,wanasema hawana pesa ya mradi huo,kwa hiyo una haki ya kufanya lolote huko,uza,ingia ubia au jenga upya
 
Back
Top Bottom