Barabara yatengenezwa baada ya ziara ya Mhe. Gambo, jijini Arusha

Barabara yatengenezwa baada ya ziara ya Mhe. Gambo, jijini Arusha

Murete

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Posts
246
Reaction score
102
Habari za leo wakuu,
Jana Mhe. Mrisho Gambo, mkuu wa mkoa wa Arusha alitembelea Ngaramtoni kwa ziara ya kikazi.

Mi naomba Mhishimiwa uwe unakuja kuja huuku ili tuwekewe lami kabisa. Maana kuja kwako ndiyo mafanikio yetu. Afu ukija kuna nyama choma tamu sana.

Njoo tena Rais wetu
b200c0be8183b125244e9953540e4d7a.jpg


No Pain, No Gain
 
Back
Top Bottom