Possibles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 1,943
- 2,482
Muda huu madereva wa magari yanayofanya safari za Kibaha wako kwenye mgomo.
Sababu ni mgogoro wa nauli baina yao na SUMATRA na askari wa usalama wa barabarani.
Hali ni tete watu ni wengi mno.Hivi vyombo husika havina macho wala masikio.
Hawaoni hatari hii ya kusanyiko la watu wote hawa kina mama, watoto na wazee wakiwemo?
Serikali mjitahidi kuwa sharp kwenye kadhia kama hizi.