wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,530
Nimepita hapo jioni hii kuna lori la mafuta lilokuwa linaelekea nchi nyingine (transit) mbele kidogo mita chache baada ya kuvuka mataa ya bucha naona wananchi wasiopenda usalama wao wako na vidumu wanakinga mafuta japo nimeona trafic wakizuia lakini watu ni wengi na vidumu vyao na foleni ni kubwa mno magari yameshonana sana
Nilishindwa kupiga picha maana nilikuwa na drive kama kunaw enye taarifa kamili naomba aziwasilishe zaidi
Nilishindwa kupiga picha maana nilikuwa na drive kama kunaw enye taarifa kamili naomba aziwasilishe zaidi