Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jamii wenzangu. Hii naandika kwa masikitiko makubwa nilikuwa sijagundua hilii. Mnamo tarehe 21/08/2017 nilinunua umeme Bila hizo EWURA & REA sasa kuanzia umeme nilionunua tr...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi wilayani Songea, mkoani Ruvuma limewaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakati wakirushiana risasi na polisi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Gemini Mushy amesema...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Toka nimekuja hapa nina karibia mwezi sasa, yaani kila baada ya muda barabara zinafungwa full ving'ora eti kiongozi anapita. Anyway, ni haki yao lakini mbona misafara ni mingi hivyo. Labda...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama utaniutani vile nahisi kabisa Tanganyika tunafika pale ambapo Zanzibar walifika zamani sababu ya chuki za kisiasa. Sitashangaa soon kama watu wakiacha kushirikiana kwenye misiba na sherehe...
0 Reactions
3 Replies
913 Views
Wakati Fulani nikiwa katika mafunzo ya Kijeshi katika chuo cha Mafunzo ya Kijeshi katika Mkoa mmoja hapa Tanzania tulikua tukikusanyika wakati wa jioni kujifunza neno la Mungu pamoja na kutiana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekumbwa na tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr. Gileard Massenga na Mkurugenzi wa...
2 Reactions
43 Replies
13K Views
Uzi huu uwafikie halotel Tanzania, Niwaulize mmeanza kulewa sifa? Wiki kadhaa sasa kasi ya internet yenu ni ya mwendo wa Kobe. Inasoma H+ lakini kufungua pages ni inshu, kama kufungua JF ni...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
1.Spoken English is NOT the measure of Intelligence. And Spoken English with a Western Accent won't make you better 2.No one cares if you have a big sounding degree or if you are a college drop...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
The BulletSafe Bulletproof Vest - Level IIIA for $299 - The Best Value
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Wana JF, mara kadhaa nimekuwa nikishangaa namna ambavyo TBC1 inaendeshwa. Tbc1 wanatoa upendeleo katika habari huku ikiongoza kwa kupuuza habari za upinzani na kutangaza za chama tawala. Tbc1...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Tanesco ya Kisarawe imekuwa kero kubwa kwa wananchi wa maeneo hayo na kusababisha uhalifu mkubwa maeneo hayo kwa kukata umeme sana usiku mpaka kuwapa kero Jeshi la Polisi. Kama wananufaika na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
RAIA watano wenye asili ya China wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma baada ya kupatikana na nyara za serikali kinyume cha sheria. Watuhumiwa hao walipatikana wakiwa na magamba 652 ya...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Awali ya yote amani iwe kwenu wana jamvi. Katika siku za hivi karibuni, nimekuwa nikizungukia maeneo mengi, lakini kitu kinachokuwa kinanipa shida ni kuwa, kokote ninakopita, nyuso za watanzania...
0 Reactions
5 Replies
919 Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana. Husika na kichwa cha habali hapo juu. Katika kitu kilichonishangaza na kunihuzunisha ni hii leo kusikia kutoka kwa Spika akisema wao wabunge wana bima za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nilikuwa natamani kufanya biashara kupitia page ya Facebook ila naona gharama za kupromote imekuwa kubwa sasa miaka miwili iliyopita nilikuwa naona gharama Lima cha chini $2 ila sasa in $7 kitu...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Naibu waziri ofisi ya rais tamisemi mhe selemani jafo amesema serikali imetenga shilingi bilioni 86 kwa ajili ya ukarabati wa vituo vya afya 172 nchini huku maeneo ya kipaumbele yakiwa ni jengo la...
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Jamani leo nimesikiliza redio moja asubuhi wakilalamikia ukimya wa viongozi wa dini juu ya mambo yanayoendelea nchini kwa sasa. Eti sababu ya wao kutokusema ukweli ni kuogopa kuitwa kwa mahojiano...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tukiacha bendera ya taifa ambayo ina heshima yake binafsi bendera hizi ndizo bendera tatu maarufu zaidi muda wote. 1:Bendera ya Taifa la Israeli Hii ni maarufu sana. Watu wengi hasa wa imani za...
3 Reactions
72 Replies
13K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari ndugu, Kuna tetesi nlizisikia sehemu kuwa eti kuna kampuni ya israel inataka iombe tenda ya kulinda Pipe Ya Mafuta Itokayo UGANDA. Naomba mnisaidie kama ni kweli au la... Na kama ni kweli...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom