Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,418
Kampuni ya simu inayoongoza nchini, Vodacom , imeyahamisha makazi yake ambayo yalikua katika eneo maarufu dsm liitwalo Mlimani City.
Sababu ya kampuni hiyo kuhamisha makao yake makuu inasemekana ni pamoja na kodi ya pango kuwa kubwa huku mapato yakipungua, na amri ya TCRA kutaka kampuni za simu ziweke makao makuu katika eneo moja.
Vodacom imehamishia makazi yake katika eneo la Kinondoni - Morocco. Eneo ambalo makao makuu ya kampuni nyingine zote za simu yapo. Makampuni yote ya simu nchini yana makazi yake katika eneo linalokaribiana kuanzia Kinondoni - victoria hadi Morocco Kinondoni Dar es Salaam.