Maombi ya taifa kumuombea shujaa Lissu

Maombi ya taifa kumuombea shujaa Lissu

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,805
Reaction score
9,742
Kutokana na taarifa hali ya Kamanda Lissu tete ipo haja ya maombi ya taifa kumuombea Lissu. Maombi yafanyike uwanja wa jangwani na ykujumuisha madhehebu yote. Mwenyezi Mungu mnusuru Lissu.
 
Back
Top Bottom