Nimeamini Magufuli anapendwa na watanzania

Nimeamini Magufuli anapendwa na watanzania

kuz

Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
51
Reaction score
58
Samahani sana kwa wale wasiopenda kusikia mtu au watu wengine wakipata sifa ama kusifiwa!!
Baada ya kuona maandiko na comment nyingi za watu humu JF zinazoonyesha kumchukia Mh Rais nikatafakari kwa kina zaidi na kuamua kutafuta ukweli!!
Ukweli ni kwamba Rais Magufuli ni kipenzi cha watanzania na bado jamii kubwa ina imani kuwa ndiye suluhisho la wanyonge!!

Ukitembelea maeneo ya vijijini ambako ndio wananchi wengi wanyonge waliko wana imani kubwa sana na Rais Magufuli na imefikia kipindi sasa hata wale waliokuwa wanaonekana wapinzani kwenye jamii husika hawataki kusikia habari za wapinzani na wanaamini wapinzani wa nchi hii ni wapiga kelele na wana malengo binafsi tofauti na hoja za wananchi na taifa kwa ujumla! Nimezunguka binafsi katika wilaya za Mkoa wa Mwanza ambazo ni Magu, Kwimba, Ukerewe, Misungwi,na hata pale jiji katika wilaya za ilemela na Nyamagana Upinzani umekufa na Wananchi hawataki kusikia kelele za wapinzani wanachohitaji ni Rais afanye mipango ya kulipeleka Taifa mbele!!

Binafsi kwa sasa nilipo ni wilaya ya Ilemela Maeneo ya IGOMBE BEACH jimbo la mwanamama Angelina Mabula hapa kulikuwa na upinzani sana,kulikuwa na CHADEMA sana na mpaka walichagua mbunge Wa upinzani kumuondoa mh Dialo lkn sasa hivi hawataki kusikia habari ya upinzani na hata wale waliokuwa wapinzani wameungana wanasema ni wakati wa kazi wamepoteza sana muda na kelele za wanasiasa!!

Nimetembea maeneo ya SIMIYU hususani Bariadi kwa kweli jina la MAGUFULI ni kubwa, kuanzia BUSEGA maeneo ya Masanza, NASA, Lamadi, mkula ,sapiwi, Dutwa, matongo, Banemhi, Nyakabindi,ng'harita,pita bariadi mjini unganisha mpaka Maswa ni Magufuli tu na watu wanasema wameshushiwa na Mungu na wanapenda anavyoongoza na kutumbua majipu na wangependa akae mpaka atakapoamua mwenyewe maana kwa upande wao hakuna wa kumshindanisha naye.

NOTE: Si kila kitu usichokipenda na mwingine hakipendi,jamii ya wanyonge ina imani kubwa na mh MAGUFULI,ni jamii iliyonyanyasika kwa muda mrefu maana haijui sheria,haki zake Rasilimali zake nk.Sisi wengine wa mjini angalau tunaelewa baadhi ya mambo maana tuna luninga,smart phone tunapata taarifa wanyonge hawa hawana uwezo wa kununua hivyo na hata wakiwa na uwezo hawajui umhimu wake kuliko mambo mengine waliyo nayo.

MYTAKE: Tuwaachieni wanyonge Rais awafanyie kazi,kama wewe siyo mnyonge muache Rais afanye kazi!!

Hata Mimi nimechagua upande wa kufanya kazi, kwa hiyo Niko pamoja na Rais Wangu MAGUFULI!!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
watanzania kama wakina JUMA NGAMIA, PAUL MAPUNDA NA SHIMONI SIRU.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwani muuaji wanauwa pekeyake ? Silazima awe na genge lake ? Lazima genge lake na wanaofaidika katika kuuwa huko wampende.ila hawazidi wasiompenda ! Ukweli ndo huo.hata mitandaoni tu unashuhudia asivyo pendeka.na akiongea mitandaoni anaonekana kabisa anavyolazimisha upendo kwa wananchi ! Msisahau Kenya huko kesha watibua Uhuru na Odinga kwa kauli zake za undumilakuwili,misifa,madaha,na kumtaja Mungu katika uovu wake huo. Sasa tusubiri huo msala nao mtasema ni chadema walimtuma kwenda kuchokoza nje ya mipaka? Kusema anapendwa ni uongo mkuu !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani sana kwa wale wasiopenda kusikia mtu au watu wengine wakipata sifa ama kusifiwa!!
Baada ya kuona maandiko na comment nyingi za watu humu JF zinazoonyesha kumchukia Mh Rais nikatafakari kwa kina zaidi na kuamua kutafuta ukweli!!
Ukweli ni kwamba Rais Magufuli ni kipenzi cha watanzania na bado jamii kubwa ina imani kuwa ndiye suluhisho la wanyonge!!
Ukitembelea maeneo ya vijijini ambako ndio wananchi wengi wanyonge waliko wana imani kubwa sana na Rais Magufuli na imefikia kipindi sasa hata wale waliokuwa wanaonekana wapinzani kwenye jamii husika hawataki kusikia habari za wapinzani na wanaamini wapinzani wa nchi hii ni wapiga kelele na wana malengo binafsi tofauti na hoja za wananchi na taifa kwa ujumla! Nimezunguka binafsi katika wilaya za Mkoa wa Mwanza ambazo ni Magu,Kwimba,Ukelewe,Misungwi,na hata pale jiji katika wilaya za ilemela na Nyamagana Upinzani umekufa na Wananchi hawataki kusikia kelele za wapinzani wanachohitaji ni Rais afanye mipango ya kulipeleka Taifa mbele!!
Binafsi kwa sasa nilipo ni wilaya ya Ilemela Maeneo ya IGOMBE BEACH jimbo la mwanamama Angelina Mabula hapa kulikuwa na upinzani sana,kulikuwa na CHADEMA sana na mpaka walichagua mbunge Wa upinzani kumuondoa mh Dialo lkn sasa hivi hawataki kusikia habari ya upinzani na hata wale waliokuwa wapinzani wameungana wanasema ni wakati wa kazi wamepoteza sana muda na kelele za wanasiasa!!
Nimetembea maeneo ya SIMIYU hususani Bariadi kwa kweli jina la MAGUFULI ni kubwa,kuanzia BUSEGA maeneo ya Masanza,NASA,Lamadi,mkula,sapiwi,Dutwa,matongo,banemhi,nyakabindi,ng'harita,pita bariadi mjini unganisha mpaka Maswa ni Mgufuli tu,na watu wanasema wameshushiwa na Mungu na wanapenda anavyoongoza na kutumbua majipu na wangependa akae mpaka atakapoamua mwenyewe maana kwa upande wao hakuna wa kumshindanisha naye.
NOTE: Si kila kitu usichokipenda na mwingine hakipendi,jamii ya wanyonge ina imani kubwa na mh MAGUFULI,ni jamii iliyonyanyasika kwa muda mrefu maana haijui sheria,haki zake Rasilimali zake nk.Sisi wengine wa mjini angalau tunaelewa baadhi ya mambo maana tuna luninga,smart phone tunapata taarifa wanyonge hawa hawana uwezo wa kununua hivyo na hata wakiwa na uwezo hawajui umhimu wake kuliko mambo mengine waliyo nayo.
MYTAKE: Tuwaachieni wanyonge Rais awafanyie kazi,kama wewe siyo mnyonge muache Rais afanye kazi!!
Hata Mimi nimechagua upande wa kufanya kazi,kwa hiyo Niko pamoja na Rais Wangu MAGUFULI!!




Sent using Jamii Forums mobile app
Umetembelea usukumani halafu unakuja na bandiko lako hapa?
Mosi yawezekana wewe pia watokea huko.Pili kama ungejua tabia na hulka ya hilo kabila wala usingehangaika na bandiko lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unankumbusha jamaa mmoja wakat tuko shuleni, alikuwa anapenda sana kusolve hesabu laini laini, harafu anajisifu "mm hesabu inapanda sana, yaan hainisumbui" cha ajabu mpe maswali ya function, set, probability, cycle jamaa alikuwa hagusi hata kdogo, yaan yalikuwa ni mwiba kwake. mtoa mada sizonje huko ulikosema anapendwa ni kanda ya kwao, hebu mwambie aende arusha au mbeya huko watu wanajitambua hawana habar na mwehu huyo
 
Nyie Tukananeni, Sifianeni, Kashifianeni mzuka ukitulia fanyeni ya maana.

Ni hivi:
Nauza Viwanja Mabwe-Pande mwisho.
Mwendo wa Dakika 10 kwa Noah zinazoanzia Bunju (Kilomita 6 tu kutoka barabarani ).

Ukubwa kati ya sqm 400-500.

Havina HATI.
Eneo zuri, Umeme upo jirani na Gari inafika.

Bei Tshs. 7M (Milioni Saba)

Pia unaweza Kuuza, Kununua, Kupanga au Kupangisha Nyumba, Ofisi, au Biashara yoyote nyingine nami kwa Dar na baadhi ya sehemu Mikoani.

Tuwasiliane:+255-714-591548
 
Back
Top Bottom