Wazo: Tuwe na watalaam kwenye Forums

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,589
Hello JF,

Leo nilikua na wazo,

Wajitokeze kila Forum, watu waliobebea kwenye fani, either kwa Elimu ama Experience, wajiunge as Verified Users. Atakae wadharau au kutumia lugha ya kebehi kwao, apewe ban. Wamwage utaalamu wao,Jukwaa la ma enigneers, madoctors, economists, etc,

Nachotaka kuunda ni Indepent body inayoweza kumsaidia Rais katika Nyanja mbali mbali, sidhani kama huwa anapitia nyuzi zote humu. Ukiweka hao watu unakua umempunguzia mzigo wa kutafuta topics zenye tija, ataenda direct kwa mfano kwa Dr Hamidu au mtaalamu wa maji, Erica.

Hao watu wachochee moto wa Maendeleo. Tena, itawafanye wafahamike zaidi na pengine kupata deals nje ya JF,

THIS HOW JF CAN MAKE BIGGER IMPACT TO THE SOCIETY
 
poa mkuu,

umuhimu wa kuileta hii topic ni specific kumuongezea ushauri Rais nje ya wale wanaomzunguka,

usimchukie Rais,he is there until 2020
Raisi kwa point aliyofika sasa kuna mambo anafanya kwa positive way ni ya muhimu sana na yanasaidia lakini kwa upande wa negative ni mtu ambaye amekuwa hapendi kupingwa na wala kushauriwa...

Mkuu ila nakwambia 2020 ni ngumu kupita katika kile kiti...
 
Waume especially wababa ni wengi tu hawana hio kitu ya kushauriwa,anaona kama umemzihaki vile-its men's ego,mnatofautiana kiwango tu,lol

kusoma utaalamu hapa JF,atajinafasi kwa muda wake,bila kuona amedharauliwa,ndio maana nikasema hao wataalam wawe na lugha ya stara,

hatujazungumzia miaka beyond2020,nazungumzia Enzi za sasa hivi,kuliko umchukie ni bora tuungane nae
 
1) siyo malengo ya JF
2) Rais hajakosa ushauri / washauri, kwa maana ana means nyingi sana za kupata ushauri toka kwa wenye data za kueleweka, na siyo huu wa kuokota okota huku jf
3) watu wengi sana wanapita humu na kuna kitengo ambacho anakiamini sana kinapita humu na taarifa anapata.

Kama huamini jaribu kumkejeli uone kesho yake kama hajakuita mezanii. Hivyo basi kama kuna la maana analipata vizuri

4) wapo ma professor huko kazi yao kuandika papers na data lukuki akitaka anapata saa yoyote. Tena professional data
5) serekali inamikono mingi na mirefu ikiamua kitu inapata kwa wakati.

Hivyo tuachie jf yetu kama ilivyo

Anyway kwani wewe umependezwa na nini haswaa ulichotamani mzee akipate. Kutoka humu. ????
Una m tag mmoja wao atapeleka.
 
Kij
Raisi kwa point aliyofika sasa kuna mambo anafanya kwa positive way ni ya muhimu sana na yanasaidia lakini kwa upande wa negative ni mtu ambaye amekuwa hapendi kupingwa na wala kushauriwa...

Mkuu ila nakwambia 2020 ni ngumu kupita katika kile kiti...
Kijani ni wataalamu wa kuchakachua kura
 
Umetumwa? Kwani hatuwezi kusaidia bila kuwa verified?

sijatumwa mkuu,hilo la verified users ni kufanya vitu 'professionally' LOL itawabana wao kuwa na discipline wa wanachokiandika humu,pia ni fursa kwao kujulikana kwa kazi zao,so ni rahisi kutatua tatizo lolote nje ya JF,
 
Hatuwezi bila kujianika? Tuanze na wewe....jina lako na profession yako!
 
Karibu jukwaa la Tech & Science tunawafahamu hata bila kuwa verified.
Hao wapo ila huko kwenu kwenye hoja na mapovu baadhi ya majukwaa sidhani kama mtaelewana.
 
1) siyo malengo ya JF
2) Rais hajakosa ushauri / washauri, kwa maana ana means nyingi sana za kupata ushauri toka kwa wenye data za kueleweka, na siyo huu wa kuokota okota huku jf
3) watu wengi sana wanapita humu na kuna kitengo ambacho anakiamini sana kinapita humu na taarifa anapata.

Kama huamini jaribu kumkejeli uone kesho yake kama hajakuita mezanii. Hivyo basi kama kuna la maana analipata vizuri

4) wapo ma professor huko kazi yao kuandika papers na data lukuki akitaka anapata saa yoyote. Tena professional data
5) serekali inamikono mingi na mirefu ikiamua kitu inapata kwa wakati.

Hivyo tuachie jf yetu kama ilivyo

Anyway kwani wewe umependezwa na nini haswaa ulichotamani mzee akipate. Kutoka humu. ????
Una m tag mmoja wao atapeleka.

Mkuu sidhani kama hata umenielewa,

Najua JF ni ya Great thinkers,

but hili nililopropose ni njia ya ku tap more educated greatthinkers,for the benefit of our society,

ni sawa na kupanga nguo;zile nyeupe unaziweka peke yake,za blue nk
 
Hatuwezi bila kujianika? Tuanze na wewe....jina lako na profession yako!

kwa nini unaogopa kujianika mkuu??

kuelekea serikali ya viwanda,mtatafuta wenyewe kujulikana,

watu professional hawafich taaluma zao,

kuna mitandao kama LinkedIn,watu wameweka profile zao wazi,

huko tunakokwenda hata nyie mtaona umuhimu wa kuweka wazi,

lastly,sina profession yoyote ndugu,

ndio maana nahimiza,JF isiwe just for fun,we can learn while we are having fun
 
Back
Top Bottom