Hivi huyu Mbunge....

Hivi huyu Mbunge....

Mnondwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
4,012
Reaction score
3,683
Salamu za jumapili mchana,
Hivi huyu mbunge anaiga kila jambo la MKOA wa Rwanda litumike na taifa hili kubwa la TANGANYIKA?
Yaani pale mkoani ndiyo kisima cha linchi hili lote kuchota maarifa?kwanini tusiige kule tulikozoea kuona mambo yakienda murua(AMERICA)tukapunguza muda wa kupata shinikizo la damu tukafanya miaka 4 kama wao?
Au kwanini tusiige kwa jirani anaeelekea kuwa baba wa demokrasia Afrika kwa kupunguza muda wa huo ubunge na uikulu kuwa miaka 4?
Aaaaagh muwe munawaza jamani kabla ya kutuletea mambo mazito kama hayo,hii yite inasababishwa na wabunge wasio na uhakika wa kurudi tena.
 
kwa nn pia tusiige katiba ya chadema, yaan kusiwe na ukomo kabisa
 
Back
Top Bottom