Wilson Leguna
Senior Member
- Feb 22, 2017
- 104
- 92
Naomba kueleweshwa kuhusu kisomochenye nguvu zaidi, miaka ya tisini mwanzoni kulikua na mtafaruku wa kidini, na kiongozi mmoja wa serikali akaombewa Itikafu, sio Albadiri, sinus Kama ilimpata
Asante mkuu Saju B kwa kunijuza...
Kilimdhuru ndo maana hakuwa Rais Na akaishia kugombana Na wenzie NCCR hadi TLP...ndo hadi Leo yupo kama hayupoNina maana sijui kama kisomo hicho kilimdhuru...Naomba kuwasilisha...
Ndo maana hasa ya alal badiri...waliomba alieiba adhurike bila wao kujua nani kaiba...Jirani yetu aliishi na mtoto wa dada yake, dada yake alikuwa na mtoto huyo mmoja tu. Sekondary alikwenda kukaa kwa mama yake mdogo aliiba mkufu wa dhahabu.
Mama mdogo aliuliza nani aliyeiba, kila mtu kimya, aliitwa sheikh baadavya kusoma albadir mtoto alianza kuvimba tumbo mpaka mauti yanamfika
Huyu uliyemtaja ni yule yule wa kabla ya itikaf na baada ya itikaf? Kusoma hujui hata macho huna mkuu?Naomba kueleweshwa kuhusu kisomochenye nguvu zaidi, miaka ya tisini mwanzoni kulikua na mtafaruku wa kidini, na kiongozi mmoja wa serikali akaombewa Itikafu, sio Albadiri, sinus Kama ilimpata