Christina84
Member
- Aug 5, 2017
- 74
- 50
Hello JF,
Leo tushirikishane, vyuo vya engineering-wanafunzi pamoja na walimu, wachekeche vichwa kuhusu Dar. Kusoma mazingira ya Dar es Salaam yakoje, na kutupa best available solution, hii ya kuhamisha watu, imegoma.
Je, hatuna kabisa njia ya kufanya na kupendezesha jiji letu without causing stress kwa wakazi?