Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawasaalimu wote kwa ujumla! Bila kupoteza mda naomba kufahamu kama kuna tawi la office za NACTE mjini morogoro, mwenye kufahamu mahali office zilipo anijulishe. Mungu awabariki ninyi nyote!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jiko la mama lishe lililokuwa jirani na transfoma limesababisha moto uliounguza maduka sita yaliyokuwa kwenye nyumba moja eneo la Dongobesh wilayani Mbulu. Mkuu wa Wilaya hiyo, Chelestino Mofuga...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
MOJA ya habari zilizochapishwa katika gazeti hili leo ni pamoja na ile ya kazi nzuri ya matibabu ya ugonjwa wa moyo inayofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa Watanzania, raia wa...
2 Reactions
2 Replies
991 Views
1.HUNA MALENGO YOYOTE YA MAANA. Yani upo sababu umezaliwa tu sio sababu nyingine. Ukiona kwamba unaamka asubuhi huna plan ya kufanya kitu chochote cha kusongesha maisha yako mbele kutoka hapo...
20 Reactions
83 Replies
8K Views
Wadau habari ya jumapili, Samahani naomba kuuliza nimepewa na jamaa decoder ya imeandikwa humax ndani hamna kadi na dish sijapewa. Je, hivi hawa humax office zao ziko wapi na gharama ya dish...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna mzee mmoja wa makamo ameniambia maneno yafuatayo "Nyie vijana wa sasa mngezaliwa enzi za kutafuta uhuru naamini mpaka sasa tungekuwa tunatawaliwana. Msingethubutu kupigania uhuru mmebaki...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimejikuta imenibidi kukatisha mfululizo wa makala inayohusu kifo cha Rais JF Kennedy ili kutafakari na kutafuta msaada wa kisheria kutokana na gazeti la RAI kunakili makala hiyo na...
43 Reactions
163 Replies
16K Views
My powerful love spells will help you get a lost lover back or win your ex back in just 2- 3 days Bring back lost love spells will bind you together for eternity. If you are really in love with...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Natumia King'amuzi cha Azam, kifurushi kimeisha lakini TBC inasoma kama kawaida, nilizani kuangalia taarifa ya habari TBC ni kitu rahisi, kumbe ni bora uangalie mdumange utaongeza siku za kuishi...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakati Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee akitarajiwa kuongoza mazishi ya aliyekuwa diwani wa viti maalumu Mbeya Mjini, Ester Mpwiniza leo, Mbunge wa Mbeya Mjini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Wazo langu naomba wabunge wapeleke muswada bungeni ili raisi akimaliza muda wake akikaa kuanzia miaka mitano aruhusiwe kugombea vipindi vinavyofuata ili tumuombe Raisi Kikwete agombee ili...
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Naomba alie Na list ya waliochaguliwa bumbuli ..tafadhali niwekee hapa nione.naomba kuwasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jambo la nadra kwa wananchi kuwagomea viongozi wa juu wa Serikali, hususan wanapokutana nao ana kwa ana, lakini Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amegomewa na kulazimika kuunda kamati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii habari tokea gazeti la Mwananchi ina akisi kiuhalisia Hali ya Jeshi la Polisi Tanzania. Polisi wananyanyasa mno wananchi na wamejiwekea na kuhalalisha mazingira hayo. Angalia kilio cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ama kweli hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe..ile..motel kongwe kabisa ya Kimara suka..ambayo ilifanya had kituo cha daladala kuitwa suka..hatimae imekula nyundo katika bomoa bomoa. Asalam aleykhum.
4 Reactions
54 Replies
9K Views
Salaam, Bila kupoteza wakati,kama kichwa kinavyosema hapo juu,wanajamvj tukienda personally kabisa,ni tukio gani huwa ukifanya hutaki kubugudhiwa na SIMU za hapa na pale? Mimi huwa nikisali.[emoji3]
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kati ya hivi vitu ni kipi ukikipoteza utaumia sana moyoni mwako 1. PESA 2. AMANI 3. MPENZI 4. WAZAZI 5. WATOTO 6. AKILI 7. KAZI 8. MARAFIKI 9. MALI Jaribu kutoa na sababu ya jibu...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Kimsingi ngazi zote za halmashauri ya jiji la Mwanza wamekuwa wakivunja sheria na kanuni za utumishi wa umma ikiwemo kuondoa UTU wa watumishi. Mimi Deogratius Nalimi Kisandu wamenivunjiaheshima...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Napenda sana utendaji Wa mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam mh. Paul Makonda. Mbali na hapo, nimeona akikagua ukarabati Wa magari yaliyokuwa mabovu yakikarabatiwa mkoani Moshi, nilifurahishwa na jambo...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanamuziki nguli tanzania na mpiga ala ya kupuliza saxaphone, Mzee Bakari Selemani Majengo amefariki alipolazwa Muhimbili hospitali kwa maradhi ya moyo na pumu Jumamosi 16/09/2017. Msiba uko...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…