Maskini wa Maskini
Senior Member
- Aug 29, 2014
- 120
- 54
Jamani ninyi watu wa Takwimu (NBS) bado tu hamjamaliza kufanya uchakachuzi wenu? Tunajua hivi sasa mnaendelea kupambana kuingiza majina yenu kwenye zile nafasi 450 zilizohitaji barua za Utambulisho kutoka kwa Watendaji wa Vijiji / Mitaa.
Mtamaliza lini ili tupate mrejesho? Tumeona mnafanya danganya toto, kuanza kutoa haya 560 ya majuzi majuzi..
Mtamaliza lini ili tupate mrejesho? Tumeona mnafanya danganya toto, kuanza kutoa haya 560 ya majuzi majuzi..