Nakuta nimechanjwa chale nikiamka

Nakuta nimechanjwa chale nikiamka

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Guys this is too much, juzi nilikuta nimepigwa chale kwenye mabega leo nazikuta chale kifuani, mwenye experience na haya mambo naoma ushirikiano wako.
 
Sijajua ni dini gani, ila sali sana achana na imani potofu hakuna kitachokupata ....kila kitu ni imani.
 
Wewe ni mwepesi sana wanga wanakuchezea tu usiku.
Usipokuwa makini kuna siku utajikuta wamekufanyia "operesheni".

Rudi kwenye imani yako ya kidini.
 
Piga Balimi..Tandika Mdudu..stua na mjani..taka taka zote utaziskia bombani..
 
Back
Top Bottom