Kesho Yetu

Kesho Yetu

Emmaloy

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
216
Reaction score
231
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo. Elewa kuwa maisha hayaangalii nyuma na changamoto hazihitaji utayari wako. Wiki moja ni zaidi ya muda wa kutosha tunaohitaji ili kuamua kama tunakubali kuupanga mwisho wetu au la. Amini katika kutenda juhudi na kuzibadili ndoto zako kuwa kweli. Katika maisha kujaribu hakuna mwisho, endelea kujaribu ipo siku utabadilisha ndoto na maono yako kuwa kweli..ABILITY TO TRANSLATE VISIONS AND DREAMS INTO REALITY

MWISHO...Napenda kuwashukuru na kuwaombea mema wale wote mliokuwa nami bega kwa bega katika kuhakikisha naandaa kesho yangu iliyo bora na mkanisaidia kwa namna moja ama nyingine katika kuzikubali changamoto na kuzitatua then nikasonga mbele..Pia walioniwezesha mpaka hapa nilipofika MUNGU awabariki na kuwalinda na pia awaongoze muwe na moyo huohuo wa kujituma, nawaombea uhai kwa sala safi na njema

Emmaloy....✍✍

2017...FUTURE NI LEO USINGOJE FUTURE NYINGINE..
 
Some zuri, mkuu mimi ninajitahidi kama ulivyosema lakini kesho nasema nafuu ya jana, nina kimavi? Hii hali itaendelea mpaka lini?
 
Some zuri, mkuu mimi ninajitahidi kama ulivyosema lakini kesho nasema nafuu ya jana, nina kimavi? Hii hali itaendelea mpaka lini?
Never give up brother..naamini kesho yako ni bora sana
 
Back
Top Bottom