Jeshi la polisi lakamata watu watano waliovamia ofisi za mawakili 'Prime Atorneys'

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi limeweza kuwakamata watu hao ambao mwanzo baadhi ya wananchi walikuwa wakisema watu wasiojulikana ambao walifanya uhalifu huo na kudai wamekiri kuhusika na uvunjaji wa ofisi hiyo na kuiba.

"Kutokana na msako mkali jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watano kuhusiana na kesi ya uvunjaji wa ofisi ya Mawakili ya Prime Atorneys mnamo Septemba 12, 2017 jeshi la polisi lilipokea taarifa ya kuvunjwa kwa ofisi ya mawakili hao ambapo wahalifu hao walifanikiwa kuvunja na kuiba kasiki iliyokuwa na pesa milioni tatu laki saba, waliiba kompyuta mpakato mbili pamoja na nyaraka mbalimbali za ofisi hiyo na wateja" alisema Lazaro Mambosasa

Aidha Kamanda Mambosasa aliendelea kusema kuwa kutokana na msako mkali uliofanywa na jeshi la polisi uliweza kuwakamata watu watano ambao waliwataja kuwa ni pamoja na "Said Idrisa Salehe (47), Mustapha Ibrahim Said (35), Somvi M Somvi (52), Imani Bago Mhina (36) na mshtakiwa na watano ni Husein Hajib Suleman (45) baada ya mahojiano na watuhumiwa hao wote wamekiri kuhusika na tukio hilo na kuonyesha Kasiki la fedha pamoja na mitungi mitatu ya gas iliyotumika kuvunja ofisi hiyo" alisema Mambosasa

Aidha Mambosasa amewataka Watanzania pamoja na viongozi mbalimbali kuwa wavumilivu pundu tukio linapotokea na kutoa nafasi kwa jeshi la polisi kuweza kufanya uchunguzi na upelelezi wake wa kina kuwapata wahalifu wanaokuwa wamehusika kwenye matukio hayo.

"Kwa hiyo masihara mengine yanayofanywa na Watanzania yanalenga kupotosha ukweli lakini pia wanajaribu kuingilia upelelezi wa polisi ili ukweli usijulikane sote sasa tunashuhuda tulianza kwa kutowafahamu mashuhuda lakini upelelezi wa kina umefanyika na tumewapata kwa majina na wao wenyewe wamekiri kufanya matukio hayo, sasa nimualike aliyekuwa akipotisha Watanzania kwa nguvu kuwa aliyetenda kosa hilo hajulikani aje sasa atueleze kuwa na yeye ni miongoni mwa waliotenda makosa hayo kwa sababu tayari hawa wapo na wamekiri kufanya makosa hayo" alisisitiza Mambosasa

Pia alisema jeshi hilo limekamata magari 13,784 na pikipiki 392 na kukusanya Sh. 424, 620,000 kutokana na makosa ya barabarani ndani ya siku 3

polisi wasijisifu wamekusanya kiasi kikubwa kwenye makosa ya barabarani. Tasfiri rahisi ni kwamba hatupo salama watumiaji wa vyombo vya moto kwani inaweza kuwa madereva sio waeledi ,hawana elimu,magari mabovu
hebu wajitathimini upya
 
Aidha Kamanda Mambosasa aliendelea kusema kuwa kutokana na msako mkali uliofanywa na jeshi la polisi uliweza kuwakamata watu watano ambao waliwataja kuwa ni pamoja na "Said Idrisa Salehe (47), Mustapha Ibrahim Said (35), Somvi M Somvi (52), Imani Bago Mhina (36) na mshtakiwa na watano ni Husein Hajib Suleman (45) baada ya mahojiano na watuhumiwa hao wote wamekiri kuhusika

hayo majina yana mlengo fulani ambao kila tukio watu wa mlengo huo wanakuwemo
 
Asante kwa taarifa na tunalipongeza jeshi letu la polisi
Ngoja sasa tusubiri wenye mali
wakiri kupokea nyaraka zao zikiwa bado hazijadukuliwa.
 
Safi Sana Jeshi letu la Polisi, hata huku UK juzi wamewakamata waliotegesha vilipuzi ila ni baada ya msako wa siku kadhaa.

Safi, Lazaro , Siro na jopo lenu lote.

Najua mapovu hayataisha kutoka kwa watu, maana, sasa naona wanaanza kupovuka kuhusu faini za barabarani, wakati unapokuwa na gari unajua kabisa gari langu ni bovu au zima ila kwa ujuha tunayapeleka mitaani.

Bora magari mambovu (na wasiotii sheria) yakamatwe tu hakuna namna.ili kuepusha ajari na vifo visivyokuwa vya lazima.
 
Asante taarifa na tunalipongeza jeshi letu la polisi
Ngoja sasa tusubiri wenye mali
wakiri kupokea nyaraka zao zikiwa bado hazijakudukuliwa.

Polisi wamefanya kazi nzuri.

Kudukuliwa labda wezi ndiyo watakuwa na hatia hiyo.
 
hayo majina yana mlengo fulani ambao kila tukio watu wa mlengo huo wanakuwemo
Comments za hivi huwa hazikosekani pindi majina ya kiislam yanapotajwa.
Lakini kumbuka huko kwingine mahesabu yao ni billions of dollars na bado wamo
Vipi baba yako mmoja wa hao wakubwa wanaopewa post kubwa ama
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi limeweza kuwakamata watu hao ambao mwanzo baadhi ya wananchi walikuwa wakisema watu wasiojulikana ambao walifanya uhalifu huo na kudai wamekiri kuhusika na uvunjaji wa ofisi hiyo na kuiba.

"Kutokana na msako mkali jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watano kuhusiana na kesi ya uvunjaji wa ofisi ya Mawakili ya Prime Atorneys mnamo Septemba 12, 2017 jeshi la polisi lilipokea taarifa ya kuvunjwa kwa ofisi ya mawakili hao ambapo wahalifu hao walifanikiwa kuvunja na kuiba kasiki iliyokuwa na pesa milioni tatu laki saba, waliiba kompyuta mpakato mbili pamoja na nyaraka mbalimbali za ofisi hiyo na wateja" alisema Lazaro Mambosasa

Aidha Kamanda Mambosasa aliendelea kusema kuwa kutokana na msako mkali uliofanywa na jeshi la polisi uliweza kuwakamata watu watano ambao waliwataja kuwa ni pamoja na "Said Idrisa Salehe (47), Mustapha Ibrahim Said (35), Somvi M Somvi (52), Imani Bago Mhina (36) na mshtakiwa na watano ni Husein Hajib Suleman (45) baada ya mahojiano na watuhumiwa hao wote wamekiri kuhusika na tukio hilo na kuonyesha Kasiki la fedha pamoja na mitungi mitatu ya gas iliyotumika kuvunja ofisi hiyo" alisema Mambosasa

Aidha Mambosasa amewataka Watanzania pamoja na viongozi mbalimbali kuwa wavumilivu pundu tukio linapotokea na kutoa nafasi kwa jeshi la polisi kuweza kufanya uchunguzi na upelelezi wake wa kina kuwapata wahalifu wanaokuwa wamehusika kwenye matukio hayo.

"Kwa hiyo masihara mengine yanayofanywa na Watanzania yanalenga kupotosha ukweli lakini pia wanajaribu kuingilia upelelezi wa polisi ili ukweli usijulikane sote sasa tunashuhuda tulianza kwa kutowafahamu mashuhuda lakini upelelezi wa kina umefanyika na tumewapata kwa majina na wao wenyewe wamekiri kufanya matukio hayo, sasa nimualike aliyekuwa akipotisha Watanzania kwa nguvu kuwa aliyetenda kosa hilo hajulikani aje sasa atueleze kuwa na yeye ni miongoni mwa waliotenda makosa hayo kwa sababu tayari hawa wapo na wamekiri kufanya makosa hayo" alisisitiza Mambosasa

Pia alisema jeshi hilo limekamata magari 13,784 na pikipiki 392 na kukusanya Sh. 424, 620,000 kutokana na makosa ya barabarani ndani ya siku 3

KAMANDA NA WAPIGANAJI WOTE, PONGEZI ZA DHATI KABISA, FANYENI KAZI KWA MOYO MMOJA HAO WANAOJISEMEA KWA KUJIFURAHISHA WAACHENI, ILA WAKIPITILIZA CHUKUENI HATUA BILA WOGA, BIG UP!!!!
 
polisi wasijisifu wamekusanya kiasi kikubwa kwenye makosa ya barabarani. Tasfiri rahisi ni kwamba hatupo salama watumiaji wa vyombo vya moto kwani inaweza kuwa madereva sio waeledi ,hawana elimu,magari mabovu
hebu wajitathimini upya
Ni kweli naona wamewekeza kwenye kukamata magari kuliko kutoa elimu. Lakn pia wqkumbuke tz hatutengenezi magari bali tunaagiza used ones, hivyo hayachukui muda kuchakaa kwa hiyo wanatakiwa kuangalia pia hali ya uchumi ngumu mtu alikuwa ana gari sasa hv hata tairi inamshinda, watoe muda wa mtu hta kurekebish chombo na sio faini za hovyohovyo bila hata onyo
 
Back
Top Bottom