Zombe yuko huru je atalipwa mishahara yake yote?

kubwa_Lao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
934
Reaction score
1,187
Wadau naomba kuuliza, kama tulivyosikia hukumu ya mahakama ya rufaa ikimuachia huru Abdallah Zombe ambae alionekana kuwa hakuwa na hatia.

Je ataendea kuwa polisi?
Na kama ndio Je cheo chake ataendelea nacho?
Vipi kuhusu mishahara na stahiki zake alizozikosa kwa kipindi chote ambacho hakua kazini, je atalipwa?

Na vipi kuhusu hawa mawakili wa serikali ambao kila kukicha wanashindwa mahakamani....
Je shida ni hawajui kutetea hoja zao mahakamani au hakuna ueledi katika kukusanya upelelezi kutoka kwa askari wetu wa upelelezi.

Msaada jamani na kama kama sijapangilia vizuri hoja yangu nadhani huo ndio nami udhaifu wangu.

Ruksa kuirekebisha kisha tuichangie
 
Acha umbea asubuh yote unaacha kwenda church unaanza umbea wanaume wa dar ni shedaaaaaa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom