Kumbe watanzania ni watu waoga kiasi hiki?

Jmujun

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
965
525
Sikutegemea kabisa kama hii ndo sifa kuu ya watz, kwa sasa. Hivi ni kwanin imekuwa hivi? Uoga, kutojiamini, kutojikubali, kutokuwa na misimamo.
Hivi ongezea zingne maana sio Tanzania ninayoijua Mimi.

Haiwezekani swala dogo la jina, members wanataka kulog out jf.
 
Mleta thread nayo ni mnafiki tu... Kama mwanamke kulalamika mume hamfikishi kileleni....

Kwenye maandamano ya UKUTA ungetoa pua zako chini ya uvungu wa kitanda?
 
Mleta thread nayo ni mnafiki tu... Kama mwanamke kulalamika mume hamfikishi kileleni....

Kwenye maandamano ya UKUTA ungetoa pua zako chini ya uvungu wa kitanda?
Ulimsikia mum akilalamika
 
Unazungumzia watanzania wa wapi? sisi watanzania tukiongozwa na raisi wetu hatuogopi,tunajiamini,tuna misimamo na tunajikubali.
 
Kwa jinsi watu walivyo waoga sasa hakuna ubunifu wowote, kila mtu anaishi kwa kulinda mkate
 
Waoga sana watanzania ila WAMBEA hao sijapata kuona.Juzi Diamond anatoa ya moyoni wote walisikiliza radio na television.Sasa cha ajabu jambo muhimu kama bajeti hawafuatilii kamwe.Utaskia tu maisha magumu
 
Mleta thread nayo ni mnafiki tu... Kama mwanamke kulalamika mume hamfikishi kileleni....

Kwenye maandamano ya UKUTA ungetoa pua zako chini ya uvungu wa kitanda?
Kwani maandamano ya Ukuta yalifanyika.?
 
Back
Top Bottom