Hii kauli ya Mhe. Nape inamaana gani?

Hii kauli ya Mhe. Nape inamaana gani?

Joined
Jan 29, 2017
Posts
61
Reaction score
66
Habari Wana JF....Leo Katika pitapita yangu Katika Mtandao wa kijamii Instagram
Screenshot_2017-09-23-13-12-01.jpg
...nimekuta na KAULI ya mh.Nape Mb.wa jimbo la Mtama..
Mh.apost picha nakuandika KAULI **Wakinizingua Mara Paaap!!**
Hapa wajuzi wa kuchambua mtupe maana kamili ya haya maneno
Pengine Nape Anataka kuyaishi na kufanyia Kazi maneno ya Mjomba ake TL...aliomwambia siku mda mfupi kabla ya shambulio.
 
Sasa mkuu mbona unataka kutusababishia dhambi ya kudhania bure hapa eeeh....hayo maneno kayaandika nape katika ukurasa wake wa instagram ni vizuri ungeenda kumuuliza mwenyew nape angekupa jibu sahihi kabisa kuliko kuja kutuuliza watu ambao hatuko kwenye ubongo wa nape............fanya hivi nenda insta msearch nape fungua hiyo picha nenda kwenye coment muulize atakujibu vyema kabisa
 
Wapi alipoandika Wakinizingua?
Habari Wana JF....Leo Katika pitapita yangu Katika Mtandao wa kijamii InstagramView attachment 594186...nimekuta na KAULI ya mh.Nape Mb.wa jimbo la Mtama..
Mh.apost picha nakuandika KAULI **Wakinizingua Mara Paaap!!**
Hapa wajuzi wa kuchambua mtupe maana kamili ya haya maneno
Pengine Nape Anataka kuyaishi na kufanyia Kazi maneno ya Mjomba ake TL...aliomwambia siku mda mfupi kabla ya shambulio.
 
Hilo nalo neno.

Nasikia Mbunge wangu Nyalandu ameitwa kwenye kamati ya Maadili Lumumba siku ya jumatatu, kisa kaenda kumsalimia Lisu Nairobi.
Si unaona! Kila mmoja ni mwoga. Nakwambia hakuna anayemfurahia huyu mtawala. Majority wangelipenda kuwa CDM, ni kuwa watu hawana alternative kwa kuogopa siyo kuharibiwa biashara, bali "wasiojulikana"
 
Wakizingua.. Mara Paaap.. nadhani anamaanisha ataondoka CCM labda.. Kada mwenzangu huyu sijui vipi tena, i like him, ila atulie tujenge Chama chetu bana.. tunadhamini mchango wako bado kama mwenzetu and tuko pamoja
 
Nape akihamia CHADEMA, watamwona bonge la mtu na watasahau mipasho ya kikekike aliyoitoa Nape kipindi akiwa Mwenezi. Halafu alivyo wa ajabu alilalamika kuonewa na Serikali akidai ameitoa CCM shimoni. Sasa unajiuliza, Hivi ni akina Nani walioiingiza shimoni? Walianza lini kuiingiza shimoni?
 
anaona kama alizaliwa ili awe waziri,kupigwa chini uwaziri bado kunamuwewesesha
 
Ivi mwenyekiti wa maccm anaweza fanya kama Lipumba kufukuza mbunge?
 
Back
Top Bottom