Maombi kwa ajili ya nchi yetu.

Maombi kwa ajili ya nchi yetu.

Joined
Sep 24, 2017
Posts
3
Reaction score
0
Watanzania Tuendelee kuiiombea nchi yetu bila kuchoka kwani tukikata tamaa shetani ataendelea kutupiga. Haya yote yanayoendelea inaoonesha kuna mahali tumemkosea mwenyezi Mungu sio bure hivyo basi Tuendelee kusugua magoti nina Imani Mungu ni msikivu kuliko binadamu. Mungu awabariki sana Asanteni.
 
Back
Top Bottom