CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,784
- 6,180
Nakuwekea sababu kadhaa kwanini mishahara ya wafanyakazi haijaongezwa hadi sasa.. pamoja na ahadi tele za wanasiasa.. na ukiukwaji wa sheria za utumishi na hadi leo...
1.TUCTA na CWT zimenunuliwa na serikali na hivyo hazipo tena kwa ajili ya kutetea wafanyakazi na ndio maana hata baada ya kutoa waraka wao uliodai kutakuwa na ongezeko mwezi huu na hakuna chochocte bado wamekaa kimya...
2. hakuna wabunge active wa kutetea maslahi ya wafanyakazi nchini...wote wamekalia siasa tu kuvutia kwao..mfano raisi aongezewe miaka 7
3.wafanyakazi wenyewe hawana umoja.... hii sio kwa walimu tu bali kwa wafanyakazi wote...yaani watu wanadhulumiwa lakini wako kimya...
ni hayo tu.