uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,351
- 1,100
Nilikuja kutathmini na kwa kupenda kwangu kusoma vitabu listening to audio books , CD mbalimbali za watumishi wa Mungu , semina mbalimbali online nk na kuwa na marafiki na mentors wangu kama mark cooper, josephat Eliasi Mwingira, Benson mpele, Andrew wommack , Walter magaya, Emmanuel Makandiwa mc luvanda, Benny hinn ministry, Daniel ally , David oyedepo, Joshua iginla , Jeremiah omoto fufeyin, mosses ALU, sam adeyemi, pastor paul okoye, dr david molapo, dr ida peterson, Mwl dickson cornel kabigumila, kilawa julius .nk wengi wao Nina mawasiliano nao direct aidha Facebook , whatsaap , email.
Kupitia hawa hakika nilikuja kujua ni kweli information is power.
Ukitumia habari zilizopo kwa busara kubwa hata kama upo kunakoonekana siyo kwa vijana wengi ,mafanikio ni hakika .
Daima sikiliza sana watu wanaongea nini , ongea kidogo sana tena pale inapobidi na Fanya tafiti zaidi .
Watu waliofanikiwa wanafanya vizuri sana kwa sababu wana habari kila kona , si kwamba wanaonekana kuongea sana no.
90% ya marafiki wengi wanataka kuchukua kitu kutoka kwako , sasa na wewe huna cha Ku deliver what can you expect zaidi ya blah blah!!!!
Baada ya wewe kuongea usichokifanyia tafiti, mtafanya kama mazungumzo na wote mtaanza kuingiziana ujinga hasa negativity , kuuana ndoto zenu.
Hapa vijiwe vya kahawa vinahusika.
Negative inasafiri haraka sana kuliko positive. Kwa sababu positive mind push the body to be healed.
Positive inasaidia sana moyo Mimi huwa naita ni Medicine .
Ukiwa unaongea una empty yourself , sasa kama hujazi inakuwaje . Rafiki mzuri ni yule anayekupa nguvu na materials kwa maana vitabu, CD ,links mbalimbali , za kusonga mbele si hadith za alinacha.
wale wa vitabu soon tutaanza kuwa pamoja , nime sheheni material ya kutosha bundles ndiyo shida