Time Traveller
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 314
- 305
Kuna video nimeiona (nimeiambatanisha hapa) inaonesha wamaasai wale wanaoishi kule mbugani wakitumia njia moja ya ajabu sana kupata kitoweo. Yaani jamaa wanasubiri simba wawinde na kuua mnyama kisha wanaenda kuwanyan'ganya wale simba ule msosi wao yaani bila uoga mbele ya Simba kama 15 hivi wenye NJAA Kali. Wenyewe wanakwambia wana wa bluff wale Simba yaani wanawahadaa akili tu. Je unaweza kuthubutu hicho kitendo? Angalia hapa