Wale wa mambo ya supernatural power

Wale wa mambo ya supernatural power

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,100
Kuna wanasayansi wameprove asilimia kubwa ya Maji , ukiyasemea vibaya yanabadilika na kuwa kama ulivyosema

( kwa utaratibu wanaoujua lakini kumbuka kama wewe unajua laws of attraction hili utalikubali pasina shaka.

Katika research zao walikuwa wana discuss issue ya utengenezaji wa sumu na Maji yaliyo karibu yakaanza kubalika na kuwa sumu .

Sasa kwa power of realization Mimi nikawaza kama hayo ni kweli , na Mimi kwa imani yangu huwa naamini supernatural power from god IPO , je inakuwaje Mwili wa Mwanadamu ni 75% Maji , akiwa ametega sikio kusikiliza mambo mabaya je hatafanana na ubaya

Like attract like
 
Aisee!ngoja wajuzi watokee!watueleweshe!
 
Bado ipo kinadharia zaidi. Unaweza kutupa picha mnato au mjongeo wa hao jamaa waliofany hyo experiment??
 
hizo ni story tu ili siku ziende.. hebu tueleze ni kanuni gani ya ki supernatural power inawezesha kitendo kufanyika pasipo kuchukua hatua..?
 
Maji ukiyasemea vibaya yanabadilika yanakuwa kama ulivyoyasema
Hii mpya kwangu
 
Ndugu zangu sitasema sana kuhusu mambo haya kwani naogopa wengine wenu watatumia vibaya ujuzi wa mambo yasiyoonekana. Tafadhali usitumie vibaya nguvu za asili kwani madhara ni makubwa na hatimaye hukumu ipo baadaye utakaporudi ulikotoka.

Unaweza kufanya kitu chochote kuwa kibaya ama kizuri ni uamuzi wako na ni rahisi mno!
 
wewe naona una uelewa kidogo
 
Si tungemalizana hapa Tanzania tunavyotakiana mabaya[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Dah ngoja nianze kuusema vibaya umasikini wangu.
 
wewe naona una uelewa kidogo
Laws of attraction, positive mind, auto-suggestion na vingine kama hivyo vina nafasi yake lakini haya ni makasha tu na usipojua the mechanism of operation of these phenomena you won't be able to achieve much! Na hi hatari kufanya mambo haya hasa unapokuwa na lengo baya kwani hukumu yake ni kubwa sana. Ninaweza nikakupa elimu ya namna ya kufanya ili kuwa-manipulate watu au matukio kama upendavyo lakini kwanza lazima nijue your level of maturity, yaani wewe ni mtu gani kwanza na pia you will have to sign on your own responsibility. Kwani kujua kwingi kuna gharama na wajibu wake pia hasa endapo unatumia vibaya ujuzi wako.

Nakushauri usitumie vitu hivi kama hujui vinafanya kazi vipi kwani vile vile vitu hivyo ni "milango" ya kuvamiwa na roho zenye nguvu na hatimaye kupata madhara mengine. Unaweza ukatengeneza jini lakini una uwezo wa kulitawala? hata kama umetengeneza wewe mwenyewe? Kumbuka watu wanatengeneza machine na zinawashinda na kuwauwa, kwa jini ni rahisi zaidi kukudhuru kama hujui jinsi ya kutawala katika ulimwengu wa roho.
 
let me assure you , Mimi ni born again christian huwa sipendi sana kuhofu , lakini napenda nadharia, ya jinsi gani watu wanaelewa haya mambo, sababu demonology nimesoma kwa mapana sana. ulimwengu wa roho ni kitu kidogo sana lakini ukiwa katika mwili ni jambo kubwa sana na ndiyo maana hapa na marekani unapanda ndege kimwili , lakini kiroho ni sekunde 5 tu, aliopo marekani na hapa tanzania unamsikia kama atakuita .
 
Laws of attraction, positive mind, auto-suggestion na vingine kama hivyo vina nafasi yake lakini haya ni makasha tu na usipojua the mechanism of operation of these phenomena you won't be able to achieve much! Na hi hatari kufanya mambo haya hasa unapokuwa na lengo baya kwani hukumu yake ni kubwa sana. Ninaweza nikakupa elimu ya namna ya kufanya ili kuwa-manipulate watu au matukio kama upendavyo lakini kwanza lazima nijue your level of maturity, yaani wewe ni mtu gani kwanza na pia you will have to sign on your own responsibility. Kwani kujua kwingi kuna gharama na wajibu wake pia hasa endapo unatumia vibaya ujuzi wako.

Nakushauri usitumie vitu hivi kama hujui vinafanya kazi vipi kwani vile vile vitu hivyo ni "milango" ya kuvamiwa na roho zenye nguvu na hatimaye kupata madhara mengine. Unaweza ukatengeneza jini lakini una uwezo wa kulitawala? hata kama umetengeneza wewe mwenyewe? Kumbuka watu wanatengeneza machine na zinawashinda na kuwauwa, kwa jini ni rahisi zaidi kukudhuru kama hujui jinsi ya kutawala katika ulimwengu wa roho.
Mkuu my degree of maturity is unquestionable, nipe hiyo elimu!
 
Kuna wanasayansi wameprove asilimia kubwa ya Maji , ukiyasemea vibaya yanabadilika na kuwa kama ulivyosema

( kwa utaratibu wanaoujua lakini kumbuka kama wewe unajua laws of attraction hili utalikubali pasina shaka.

Katika research zao walikuwa wana discuss issue ya utengenezaji wa sumu na Maji yaliyo karibu yakaanza kubalika na kuwa sumu .

Sasa kwa power of realization Mimi nikawaza kama hayo ni kweli , na Mimi kwa imani yangu huwa naamini supernatural power from god IPO , je inakuwaje Mwili wa Mwanadamu ni 75% Maji , akiwa ametega sikio kusikiliza mambo mabaya je hatafanana na ubaya

Like attract like
Wish niandike kitu about this.....nahisi nitaandika nusu kwa sasa
 
Back
Top Bottom