mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Huu utitiri wa watu unaoonekana kwenye Usahili,simply unaongezeka kutokana na watu wenye rohoo mbaya ya kutoridhika,yeye kila siku utamkuta anatafuta kazi as if ndio kipaji alichozaliwa nacho wakati tayari yupo na kazi permanent tena yenye maslahi.
Tambueni hamfanyi sahihi , kwanza Mnasababisha ajira kuonekana ndogo
2. Mnatia chumvi kwnye Vidonda vya Graduates/Jobless.
My take:
Mm nadhani sasa patokee utaratibu kutoka serikalini wa kuwabana hawa watu kwa kufanya monitoring ya jambo hili especially kwa watu walikaa kwnye ajira zao kwa mda mrefu . (Imefka mhl Mtu badala apambane kutafuta kupandishwa cheo hapo alipo, anapambana kusemd CV mitandaoni.)
Swala la experience litapatikana kwnye field na intership za wahusika not necessarily kuchukua mtu aliyekua na kazi permanent before.
Hii lazima ichukuliwe serious Otherwise katika Bomu linalotengezwa basi ni hili la ajira.
Mwisho kabisa nitoe pole kwa waathirika wote waliopata madhara kutokakwa kwa hawa watu tajwa .