Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Kwa nini nasema hivi, chadema siku zote wanawaombea wengine mabaya, juzi kati hapa watu wa CUF wanatoka Dodoma wamepata ajali na kufariki JF ilijaa kejeli na furaha kwamba Mungu amesikia kilio chao na kuwaadhibu kwa kuwa tu wana ugomvi na Lipumba hapo UTU na Ubinadamu hawakuoona, bila ya kujali kwamba hao marehemu pia wana ndugu na jamaa, tetemeko lilitokea Mwanza/Kagera na watu kufariki pmj na Watoto, Wazee na akina Mama kejeli zikajaa hapa kwamba Mungu anasikia maombi hii yote kwa kuwa hawampendi Raisi Magufuli, mauaji ya Kibiti Askari wetu wanapigwa risasi chadema wanachekelea mpaka Bungeni Viongozi wao akiongozwa na Lema wanawakejeli watu wanaopigwa risasi huko, mpaka Spika wa Bunge akaingilia, huko kooote Mungu hawamuoni.
Dodoma watu wanakufa njaa mpaka wanakula wadudu, wanawakejeli mpaka Bungeni kwamba Mungu amewaadhibu kwa kuchagua CCM na wanawaita wala viwavi, sasa sijui mtoto mdogo ana kosa gani kufa njaa, huko kote Mungu wala Ubinadamu haupo!
Lkn leo hii Tundu Lisu kapigwa risasi ghafla Mungu anaingia na Dunia nzima kila mtu anapaswa kuwa na huzuni na Tundu Lisu, mnatka nchi nzima isimame kwa ajili ya Tundu Lisu, mnataka hata Bunge liache kazi kisa Tundu Lisu kapigwa risasi, wengine wanataka hata raisi wa nchi aondoke hapa kwenye Kenya kumuona Tundu Lisu, ghafla misemo miingi sijui Utu, mara Ubinadamu mara sijui albadir wengine sijui malipo ni hapa hapa Duniani, mara fulani atalaaniwa kwani huyo Mungu anawajua ninyi tu?
Kama mnataka kuwa huo mnaouita Ubindamu basi iwe kwa wote kwamba kila Binadamu akipata shida basi tunasononeka wote na kuumia wote lkn siyo mnatuchagulia Binadamu yupi wa kusononekea na yupi wa kukejeli, you cant have your cake and eat it, wanasema Wazungu, ...