Uzi maalum kwa watanzania mbalimbali waliogundua/buni vitu mbalimbali hapa nchini

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
879
618
Habari ndugu watanzania wenzangu! Napenda tujuzane waanzilishi wa vitu mbalimbali hapa nchini kwetu. Kwa kuanza,tujuzane wabunifu wa haya yafuatayo:

1. Wimbo wa taifa
2. Wimbo wa Tazama ramani
3. Wimbo wa Tanzania nakupenda
4. Mwenge wa uhuru
5. Bendera ya taifa
6. Mipaka ya nchi

Pia waweza ongezea na vingine.Karibuni!
 
Mambo mengi hayo yakufanywa na mtu mmoja kama utata uliojitokeza ktk Nembo ya Taifa.

Ila kiashiria cha taarifa ya habari ya TBC saa mbili usiku zile ngoma 12 zilipigwa na Mzee Morris Nyunyusa na alikuwa na ulemavu wa kutoona.(kipofu)
 
Hapa ndio shida ya mtu mweusi inapoanzia, ugunduzi wetu ni kwenye vitu vinavyofanana na ushirikina tu, ndio maana kumbe maisha yetu magumu kila siku..

Wenzetu kila siku wanagundua vitu vyenye msaada kwenye jamii2..
 
Nilifikiri unazungumzia ubunifu wa vitu vya kimaendeleo..., kumbe unazungumzia ubunifu huo wa akina Ngosha?? wenzetu kila kukicha wamebuni/wanabuni vitu vya kuwarahishia maisha yao ya kila siku wewe bado unawaza mwenge, nyimbo? pole sana.
 
Nilifikiri unazungumzia ubunifu wa vitu vya kimaendeleo..., kumbe unazungumzia ubunifu huo wa akina Ngosha?? wenzetu kila kukicha wamebuni/wanabuni vitu vya kuwarahishia maisha yao ya kila siku wewe bado unawaza mwenge, nyimbo? pole sana.
Anzisha uzi wako wa hivyo vitu unayotaka.
 
1. Wimbo wa taifa- Tuliuiga kutoka Afrika Kusini

2. Wimbo wa Tazama ramani

3. Wimbo wa Tanzania nakupenda

4. Mwenge wa uhuru - Forojo Ganze

5. Bendera ya taifa

6. Mipaka ya nchi- Mkutano wa Berlin
 
yap tuwe na kumbukumbu ya wenzetu,maana naona hatuna utamaduni wa kukumbuka watu muhimu kwa taifa
 
Back
Top Bottom