Mimi kazi acheni kabisa, vinginevyo mtapatwa na mshtuko wa moyo Kwa kuburuzwa kufanya kazi kwa lazimaPia mnaotegemea Huduma bora kutoka kwa Watumishi pia msahau
Huyo jamaa ana roho mbaya tu mkuu..wala usihangaike nae ndugu...we fanya yako tu...JPM Kibaha:Hatutafuti Pesa kwa ajili ya posho au semina kama hamkuzipata miaka mingine imekula kwenu.Huu ni muda wa kufanya kazi
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji6]Gambe haijawahi kumuacha mtu salama.
Lawama zote kwa baba fulani kwa kutuletea gambe za Kienyeji.
Keep on dreaming day time dreamshuyo donda ndugu hana jipya. ameshindwa kutoa statutory increment sasa hela za kulipa watu posho atazipata wapi! kuna minong'ono anataka hata kutoa stahiki za wakurugenzi wasaidizi na watumishi wengine. yeye ndio kwishney 2020
DuuuPia mnaotegemea Huduma bora kutoka kwa Watumishi pia msahau
Tuajiri wewe basiMimi kazi acheni kabisa, vinginevyo mtapatwa na mshtuko wa moyo Kwa kuburuzwa kufanya kazi kwa lazima
Mimi kama mhindi, sitoi ajira labda vibaruaTuajiri wewe basi
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Gambe haijawahi kumuacha mtu salama.
Lawama zote kwa baba fulani kwa kutuletea gambe za Kienyeji.
Mimi kazi acheni kabisa, vinginevyo mtapatwa na mshtuko wa moyo Kwa kuburuzwa kufanya kazi kwa lazima