Tatizo la Umeme Mtwara

Majaribu2013

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
952
1,043
Inaumiza!

Mkoa wa Mtwara uliojaliwa gesi, mabomba yakitiririsha gesi kuelekea DAR ES SALAAM huku yakiacha KILIO na uchungu mkubwa kwa wakazi wa Mtwara kwa kukosa umeme. Inavyoonekana tatizo ni kubwa mno na kwamba kwa siku za usoni tunaweza kushuhudia Mtwara ikikosa kabisa umeme. Inaumiza sana!
 
Ni kweli mkuu sasa hivi Mtwara kuna tatizo la umeme ila naamini serikali yetu italifanyia kazi kwa haraka
 
Back
Top Bottom