Hoja binafsi za mabadiliko ya katiba

bibinnaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,500
1,376
Nasoma magazetini na kuangalia kwenye runinga yanayoendelea Uganda sasa hivi kuhusu umri wa Rais, Kenya kuna vuguvugu la uchaguzi na maandamano. Sisi tuko vizuri mpaka sasa hivi.

Nimuombe Mh Spika, kwa uwezo mkubwa saana alio nao (mtakumbuka) asikubali hoja za Nkamia na Heche kuingia bungeni,badala yake ile Rasimu ya Judge Msomi Warioba ifanyiwe kazi na ipitishwe mapema iwezekanavyo.

Tutachekwa na walimwengu kwa kupiga kiraka katiba mzee wakati tunayo rasimu nzuri tuliyoshiriki kuitengeneza kwa kutumia ma billioni ya mapesa. Naamini hatujalogwa.
 
Back
Top Bottom