Naombeni ushauri maana naona haya matatizo yananizidi uwezo

Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,366
60,406
Habar wana jf
Naombeni ushaur juu ya masuala yanayoniandama kila kukicha maana naona naelekea kusikojulikana

1.Kwanza kabisa mm sipendi kusikiliza nyimbo za dini
2.Sipendi kwenda Kanisani kabisa wala kupita karibu na kanisa
3.Nikila nyama ya kitimoto napata homa na kuumwa kichwaa sana
4.Napenda kuangalia video za kichawi za majini maghost na zile za kutisha tisha yan ndo napendaa hata usiku wa manane naangalia tu
5.Napenda kuchora picha za alama wanazoita za kifreemanson yan naweza kuchora fuvu naweka na misalaba nashangaa nakuwa nabuni na nikimaliza inatokea picha ya kutisha alafu naanza kujishangaa mwenyewe
6.Napenda kufatilia hadith na kusoma vitabu vyenye hadithi za kutisha
7.Kama kuna kitu kibaya kinatokea huwa najua mfano kuna siku nikiwa chuo darasani nikawaambia wenzangu leo kuna tukio baya linaweza kutokea wakanicheka lakin baadae tukakuta hostel kumeibiwa niliogopa sana
8.Ukitokea msiba kwenye familia yetu huwa najua yan nahis kama mtu ananiambia kichwan namsikia ila simuon
9.Mtaa wowote ninaokaa kama kuna wachawi huwa nawajua kama unavuta bangi nakujua na hata mtu anayesema uongo namjua

Nb:Jaman nipo serious naombeni msaada wenu nataka niwe ktk halo ya kawaida
 
Nenda kanisani ukaombewe wewe hiyo nguvu inayo kuzuia usipite kanisa wala kusikiliza nyimbo za dini nipepo siku utakayoingia itakuwa siku yako kufunguliwa na utapona kabisa ni pm nikupe maelekezo
 
Kwakuwa ushatambua kabisa hali yako,,

anza na motives za kwenda kanisani,,

achana na kusoma vitabu vyako hivyo anza kusoma vitabu vya dini kama BIBLIA na vingine vingi.
 
Back
Top Bottom