Wakazi wa Dar wanachangia mapato ya nchi zaidi ya wa mikoani

kwenzi

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
669
665
Mie mkazi wa mkoani

Umeme wa buku huku unapata unit 8 wa jero unakuna unit 4 yani kwa mwezi umeme wa 3000 tu hapo frij inapiga kazi ita ya maji inakula mzigo mzik full time...

Nakumbuka nilipo kuwa naishi dar umeme kwa mwezi nilikuwa nalipa mpaka elfu 30 kwa mwez chumba kimoja tu..

Hiyo 30 elfu huku ni miezi kumi daaah mbwinde raha sana kuishi

Service line huku ni 177000 dar ni laki tatu na ushee
Maji kwa mwezi buku tu ya bomba nilipo kuwa naish dar ndoo moja ilikuwa buku..

Mbona naona kama kuna kaupendeleo nikiangalia kama maisha kukaza yanakaba kote kote
 
Kuna mada huku inasema dar inashika nafasi ya juu kabisa kwa uoga. Hivyo inawezekana ndiyo sababu ya kushindwa hata kuhoji kwanini uuziwe maji ndoo moja kwa 1000.
 
Dsm ni mkoa mkuu wa biashara tanzania.wa mikoani tulimieni mpunga mtuletee tule ubwabwa
 
wewe ni wa mkoani na umeliona hilo mkoa wa wenzako hadi umeleta uchunguzi wako jamvini!!!!!

"kijana anayeendesha gari la baba yake HANA mamlaka ya kuongea lolote kwa wanaume wanaoendesha baskeli zao"
 
Mie mkazi wa mkoani

Umeme wa buku huku unapata unit 8 wa jero unakuna unit 4 yani kwa mwezi umeme wa 3000 tu hapo frij inapiga kazi ita ya maji inakula mzigo mzik full time...

Nakumbuka nilipo kuwa naishi dar umeme kwa mwezi nilikuwa nalipa mpaka elfu 30 kwa mwez chumba kimoja tu..

Hiyo 30 elfu huku ni miezi kumi daaah mbwinde raha sana kuishi

Service line huku ni 177000 dar ni laki tatu na ushee
Maji kwa mwezi buku tu ya bomba nilipo kuwa naish dar ndoo moja ilikuwa buku..

Mbona naona kama kuna kaupendeleo nikiangalia kama maisha kukaza yanakaba kote kote
Kwa hiyo unataka kuniambia Mikoa yote karibu 30 hata ikusanye mapato yake yote bado haifikii Dar??
 
Mie mkazi wa mkoani

Umeme wa buku huku unapata unit 8 wa jero unakuna unit 4 yani kwa mwezi umeme wa 3000 tu hapo frij inapiga kazi ita ya maji inakula mzigo mzik full time...

Nakumbuka nilipo kuwa naishi dar umeme kwa mwezi nilikuwa nalipa mpaka elfu 30 kwa mwez chumba kimoja tu..

Hiyo 30 elfu huku ni miezi kumi daaah mbwinde raha sana kuishi

Service line huku ni 177000 dar ni laki tatu na ushee
Maji kwa mwezi buku tu ya bomba nilipo kuwa naish dar ndoo moja ilikuwa buku..

Mbona naona kama kuna kaupendeleo nikiangalia kama maisha kukaza yanakaba kote kote
Upatikanaji wa hela vipi ukilinganisha Dar na huko mkoani?
 
Upatikanaji ni mgumu kama huko dar tu ..tuchukulie mfano ni mtumishi wa serikal mshahara si ni mmoja kwa ngazi yako husika lakin huko umeme huo huo we utanunua kwa bei ya juu ukiwa dar mie nitanunua kwa bei nafuu sana nikiwa huku mbwinde..
 
Hajazungumzia wanaume wa Dar hapa, amezungumzia wakazi wa Dar..Akisema wakazi inamaanisha watu wote waishio Dar wa kiume na wa kike. Uelewe hivyo sio unaleta story tofauti
Mkuu mbona umepaniki??Majority ya watafutaji ni WANAUME duniani kote.Afu kama ni mkristu jiulize mbona Yesu alipolisha watu 5000 hawakuhesabiwa wanawake na walikuwepo?
 
Upatikanaji ni mgumu kama huko dar tu ..tuchukulie mfano ni mtumishi wa serikal mshahara si ni mmoja kwa ngazi yako husika lakin huko umeme huo huo we utanunua kwa bei ya juu ukiwa dar mie nitanunua kwa bei nafuu sana nikiwa huku mbwinde..
Nje ya mshahara je? Watu wa Dar wengi hawaishi kwa mshahara.
 
Halafu kesho nije nione post humu ati oooh wanaume wa dar wazembe wazururaji wanapenda kula chipsi na kuosha kucha saluni
Ntaua mtu
 
Back
Top Bottom