Uendeshaji wa Huduma za UDART bado mbovu sana

Uendeshaji wa Huduma za UDART bado mbovu sana

Joined
Jun 2, 2014
Posts
68
Reaction score
21
Huu Mardi WA mabasi yaendayo kasi bado una changamoto nyingi Sana. Unaweza ukafika kituoni ukasubiri basi kwa muda WA nusu saa nzima na wakati kwa nchi nyingine kila baada ya dk 5 basi linakuja.

Halafu sasa, yupo driver mmoja and roho mbaya Sana, hebu fikiri ,anafunga milAngo haraka haraka ili watu wasiingie.

Juzi juzi hapa alitaka kumwuA mama mmoja maeneo ya Ubungo. Badala ya kumhurumia Amadeus siku nyingine fanya hivyo hivyo kisha utaona utakavyokufa.

Hii kazi ni Huduma kwa jamii, wafundishwe drivers customer care.
 
Mivituo yenyewe milango haifunguki unafunguka mmoja tu sasa abiria mkishuka mnabidi msukumizane kwenye misingi ya vituo huku nako kuna mwendokasi mwengine unataka upaki na ukijichanganya umedondoka,yaani almradi imekuwa vurugu{sijui kama hawajui ama vipi maana unakuta milango kadhaa haifunguki zaidi ya week}huduma ya card hakuna watu inawabidi mpange folen mkate ticket mara uambiwe hamsini sina subiri nipate change,yan nisiwahi kazini nisimame bus stand kusubiri Tsh50!!!hopeless kabisa.
 
Inaongeza tatizo badala ya kusolve tatizo
 
Huu Mardi WA mabasi yaendayo kasi bado una changamoto nyingi Sana. Unaweza ukafika kituoni ukasubiri basi kwa muda WA nusu saa nzima na wakati kwa nchi nyingine kila baada ya dk 5 basi linakuja.....
Halafu sasa, yupo driver mmoja and roho mbaya Sana, hebu fikiri ,anafunga milAngo haraka haraka ili watu wasiingie

Juzi juzi hapa alitaka kumwuA mama mmoja maeneo ya Ubungo. Badala ya kumhurumia Amadeus siku nyingine fanya hivyo hivyo kisha utaona utakavyokufa

Hii kazi ni Huduma kwa jamii, wafundishwe drivers customer care
Pamoja na kudai kuwa mradi upo kwenye majaribio lakini wameshindwa hata kupunguza hizi kero, wamezuia daladala kufika mjini na matokeo yake watu tunajazana km mishikaki, unakaa kituoni mara mgari mwingine unapita bila kusimama na hauna abiria, kwa kweli wahusika waangalie hizi kero zimezidi
 
Kwenye nauli hapo wanapiga sana 650/ umepanda kimara unashuka manzese, magomeni unashuka fire ushauri jitafakari kama mnafanya sahihi kwa hizi nauli.
 
Tumeshasahau tulikotoka!! Huduma ni mbovu kulinganisha na USA au daladala zilizokuwepo awali? Nini kusubiri nusu saa wakati watu wa sehemu kama Kimara walikuwa wanasubiri mpaka masaa 2?

UDART imeboresha sana huduma ya usafiri. Mambo mengine madogo yanaweza kurekebishwa kwa kuwasiliana na wahudumu kituoni au makao yao makuu.
 
Achilia kero hiyo. Taratibu zao ni kusitisha huduma ifikapo saa sita usiku lakini wafanyakazi wao hao vijana ikifika saa tano na nusu wanazuia magari kupakia au hata kusitisha kabisa huduma. Nilikwishashuhudia pale ubungo.Tar 17/9/2017 magari yamesitisha huduma saa tano na dk 19 usiku. Still kulikuwa na abiria wakiwa na tiketi mkononi. Wahudumu they even not care kwa kile walichokifanya.
 
Kuna wakati unafika kituoni linakuja gari watu wamejaa kituoni hasa nyakati za asubuhi kisha u aona dereva anapaki gari pembeni anashuka anapotea kama dk kadhaa ambao ni muda mrefu tu,kisha anarudi anaingia ndani ya basi na kuondoka bila abiria. Kisha baada ya muda tena linakuja jingine linashusha abiria linaondoka tupu na kwenda zake. Hapo muda wa wateja hawa unazidi kupotea tu tena kirahisi rahisi tu na uongozi wao uko kimya
 
Menejimenti ya mabasi haya ya mwendo kasi bado inalalamikiwa kwa kuwa na tabia kuingiza mabasi machache zaidi huku wakiwa na mabasi mengi hayatumiki jambo hili linasababisha mkanyagano mkubwa,abiria kupoteza muda vituoni na hii huathiri shughulo za uzalishaji hapa jijini
 
Huu Mardi WA mabasi yaendayo kasi bado una changamoto nyingi Sana. Unaweza ukafika kituoni ukasubiri basi kwa muda WA nusu saa nzima na wakati kwa nchi nyingine kila baada ya dk 5 basi linakuja.

Halafu sasa, yupo driver mmoja and roho mbaya Sana, hebu fikiri ,anafunga milAngo haraka haraka ili watu wasiingie.

Juzi juzi hapa alitaka kumwuA mama mmoja maeneo ya Ubungo. Badala ya kumhurumia Amadeus siku nyingine fanya hivyo hivyo kisha utaona utakavyokufa.

Hii kazi ni Huduma kwa jamii, wafundishwe drivers customer care.

Watanzania hebu basi sometimes tuache Unafiki na Lawama. Hivi nani ambaye hajui jinsi ambavyo Sisi Watuamiaji wa Daladala tulivyokuwa tunapata taabu ya Usafiri hapa jijini Dar es Salaam? Leo angalau tumeletewa haya mabasi ya mwendo Kasi kidogo ile adha imepungua na sivyo kama zamani lakini bado tu hatuishi kulalamika. Hivi Wewe Mkuu kwa hata hiki kidogo tu umeshawahi kuwashukuru hao UDART? Ni kweli kuna changamoto nyingi lakini tukumbuke kwamba hii huduma bado ni changa sana hivyo wakikosea kwa sasa tusishangae bali tuwavumilie na tuwatie moyo kwani kupitia hayo hayo mapungufu yao ndiyo humo humo pia nao wanajifunza na pengine ndani ya miaka miwili au mitatu ijayo hizo Changamoto zako tajwa hapo zitakuwa ni historia.

Tujifunze kuwa Wavumilivu kwa huduma hii mpya iliyo na mwaka mmoja na nusu kama ambavyo tulikuwa wavumilivu kwa huduma Kero tuliyoizoea kwa miaka zaidi ya 30 iliyopita.
 
Wanaudhi zaidi ni pale watu wamejaa sana vituoni zaidi ya nusu saa ,, mabus hakuna ,, halafu mabus yanapita matupu bila kuchukuwa abiria....sijuwi wanawahi wapi...especial JIONI....na ASUBUHI
 
Watanzania ni mabingwa wa kutoa lawama ....hivi kweli hakuna kizuri kwenye huu mradi?
 
Huu Mardi WA mabasi yaendayo kasi bado una changamoto nyingi Sana. Unaweza ukafika kituoni ukasubiri basi kwa muda WA nusu saa nzima na wakati kwa nchi nyingine kila baada ya dk 5 basi linakuja.

Halafu sasa, yupo driver mmoja and roho mbaya Sana, hebu fikiri ,anafunga milAngo haraka haraka ili watu wasiingie.

Juzi juzi hapa alitaka kumwuA mama mmoja maeneo ya Ubungo. Badala ya kumhurumia Amadeus siku nyingine fanya hivyo hivyo kisha utaona utakavyokufa.

Hii kazi ni Huduma kwa jamii, wafundishwe drivers customer care.
Mradi mzuri sana huu lakini hauna wasimamizi wazuri. Mameneja wanalea mimba ofisini tu wala hawawezi kutoka kujionea huduma zinatolewaje!! Huu mradi akikabidhiwa mzungu tutashangaa mpaka tufe!! Sisi wa-Afrika akili zetu hazitutoshelezi!!
 
Back
Top Bottom