Wadada(baadhi)hapa ndo mnapokoseaga....

Wadada(baadhi)hapa ndo mnapokoseaga....

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Jana usiku nilitoka na mshikaji wangu kwenda kupata moja moto moja baridi kwenye baa moja kitaani!Tulikaa kwenye meza ambayo ilikuwa na takribani viti vitano,tuliagiza kinywaji tukaanza kunywa kwa muda kama wa saa 1 nikatoka kwenda chooni,niliporudi nikakuta kuna mdada ameongezeka kwenye meza yetu,nikamnong'oneza mshikaji "vipi huu mzigo wako?" mshkaji akanambia hapana huyo demu amekuja tu kukaa hapo!Basi yule demu aliagiza pepsi barrrdiii akaanza kunywa!Bia yangu na ya mshkaji ilipokwisha nikaagize nyingine nikamwambia na muhudumu ampatie na yule dada kinywaji anachotumia kwa kuwa anakunywa pepsi sio ishu,yule dada akamuita muhudumu akamnong'oneza!angalia sasa kilichofuatia....yule dada si akaagiza heineken wakati alikuwa anakunywa pepsi!!!!Otea nini kilifuatia......au ungekuwa wewe kamanda(hapa naongelea wanaume) ungefanyaje hapo....kabla sijamalizia hatua niliyoichukua.....
 
Kwa hiyo ukaagiza tena mpaka akalewa ukachukua mzigo Wewe mjanja sana
 
Kama umejitolea kumnunulia kinywaji ulimwambia kwamba kujitolea kwako kunaishia kwenye soda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom