Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi sikia Watanzania wenye kujua kufikiri wanavyosema

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,335
2,000
Mara baada ya kufungiwa jana Gazeti la Raia Mwema kwa Siku 90 niliweza kufuatilia mijadala mbalimbali ya Wadau na Watanzania wa kawaida tu ambapo mwishowe nikaja kugundua kwamba kumbe nchin Tanzania kuna Watu hawana hata hizo PhD au Elimu yoyote kubwa lakini pengine wanaweza wakawa wanajua Kufikiri kuliko wenye PhD zao.

Huyu Mdau mmoja ndiyo ama hakika amenifanya sasa niamini kwamba kweli Tanzania ni nchi ya Watu wenye akili, maarifa na upeo mkubwa sana kutokana na jinsi alivyomjibu Kihoja kabisa mwenye PhD yake hasa baada ya huyo mwenye PhD yake ambaye ni Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi hasa pale aliposema kwamba Kufungiwa kwa Gazeti la Raia Mwema kunatokana na Kosa la Kitaaluma.

Ifuatayo ni nukuu ya huyu Mdau ambapo aliamua kumjibu mwenye PhD yake pale tulipokuwa Kijiweni Kwetu jana jioni..." kama Serikali kupitia huyo Msemaji wao Dkt. Hassan Abbasi wanasema kwamba wamelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa Kosa la Kitaaluma wakati ukweli wa Sheria hii mpya ya Vyombo vya Habari iliyosainiwa tulikubaliana kwamba kama ni Kosa la Habari basi adhabu iende moja kwa moja kwa huyo Mwandishi ila Gazeti liachwe. Mbona miaka kadhaa iliyopita kuna Madaktari wa Hospitali ya Muhimbili walifanya Oparesheni ndivyo sivyo ambapo mmoja alifanyiwa ya Kichwa badala ya Mguu na mwingine ya Mguu badala ya Kichwa lakini baadae waliochukuliwa hatua walikuwa ni wale wale Madaktari na si Hospitali nzima ya Muhimbili? Je ni kwanini haki hii hii isiendelee pia hata katika Tasnia nzima ya Uandishi wa Habari ambayo hata na yenyewe ina hadhi sawa na Tasnia ya Udaktari? "

Wenye PhD zenu kama ya Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi karibuni katika uzi huu ili nanyi pia muweze kujibu hoja za huyo Mdau ambaye kiukweli Elimu yake ni ya Kiwango cha chini ili Sisi wanajamvi sasa tuweze kupima kati ya Watanzania wenye PhD na wasio na PhD nani ukweli wana akili na uwezo mkubwa wa kujenga hoja zenye mashiko.

Mimi nisiye na PhD GENTAMYCINE nawasilisha.
 
jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,740
2,000
Msemaji wa Serikali Ameshindwa Kumjibu Zitto Kabwe
........
Nimemsoma kwa umakini Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi alipohojiwa na Gazeti la Mwananchi la tarehe 22 Septemba akijaribu kuzipangua Hoja kumi zilizotolewa na Kiongozi wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe mbele ya Kamati ya Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Kwa ujumla wake, licha ya kufurukuta, Dk. Abbasi hajafanikiwa kuipangua hata hoja moja. Alichoishia kusema ni Kwamba mihimili ya dola inafanya kazi kwa kuingiliana au "Checks and Balances" Kama waitavyo wanasheria. Lakini Anachokisema Dk. Abbasi sicho alichokisema Ndg Zitto. Sisi hatujazuia 'checks and balances'. Hatujasema kuna tatizo Bunge bajeti yake kutoka serikalini. Hatukatai Bunge kutunga sheria ambazo mahakama inazitafsiri. Haya mambo yanakubalika kisheria. Ni dhahiri kuwa Dk. Abbas badala ya kujibu Hoja Kama zilivyoibuliwa ametafuta kichaka cha kujificha. Kwa upande wetu sisi tulilitarajia jambo hili. Tulifahamu kuwa kwenye hili Dr Abbasi hana Majibu ya kumshawishi Mtu mwenye akili timamu kuwa madai ya serikali kuingilia uhuru wa Bunge si sahihi. Mifano aliyoitoa Ndugu Zitto kila mtu anaiona. Sote tumemuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimwelekeza Spika wa Bunge la Tanzania kuwashughulikia Wabunge ambao anadhani ni wakorofi utadhani Spika ni 'subordinate' wake.
Mbaya zaidi tumeshuhudia Ripoti ya Bunge ikisomwa nje ya Bunge na kukabidhiwa moja kwa moja kwa serikali utadhani Tume ya Bunge ya Almas na Tanzanite ilikuwa Tume ya Serikali. Rais ametufanya kujua Kwamba hata wajumbe wa tume hiyo waliteuliwa kwa ushawishi wa Rais. Mifano Kama hii haiwezi kubatilishwa na akina Dk Abbasi. Tuwaache waongee. Yeye ni msemaji wa serikali. Iwe imekosea au imepatia 'mkate' wake ni kuilinda serikali.
Ninachopenda kumnasihi Dk. Abbasi na wote wanaomtetea Rais Magufuli na serikali yake kwenye kila kitu wafahamu kuwa Rais Magufuli ni Rais wa kipekee. Magufuli ni mtu ambaye hawezi kuficha hisia zake. Akilichukia jambo ni rahisi sana kufahamu. Kwa hili la Bunge ni dhahiri kuwa Rais analiona Bunge na Mahakama Kama Idara za Serikali. Kwake yeye, Serikali ipo juu ya mahakama na Bunge. Jambo hili, kwa nchi yetu si sawasawa kikatiba. Kila mhimili una wajibu na madaraka yake. Hata hicho ambacho Dk. Abbasi anakiita kuhusiana na kuingiliana kwa mihimili hakunamaanishi kuwa kibali cha mhimili mmoja kutawala mihimili mingine. Jambo hili halikubaliki kamwe na watu wote wenye mapenzi ya dhati kwa nchi yetu sharti walisimamie kwa nguvu zote. Tusichoke kumkumbusha Rais kutekeleza kiapo chake cha kulinda Katiba bila hofu wala soni.
Ado Shaibu-29/9/2019.
.....
Kwa mfululizo huu wa video na posts za kila siku zinazofafanua fikra na mitazamo ya Ado Shaibu, Mwenezi wa ACT Wazalendo unaokwenda kwa jina "Comrade Ado Daily" usisite kutembelea page zake:
Facebook: Comrade Ado
Instagram: Comrade Ado2015
You Tube: Ado Shaibu
Tweeter: Ado Shaibu
 
mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,356
2,000
Ndugu wenye PhD wapo vizuri tu ,tatizo ni unyani unyani uliyo kichwani unawasumbua kikubwa ni tamaa kwenye uongozi
 
olyanu

JF-Expert Member
May 30, 2017
1,834
2,000
Jamani PhD za siku hizi ni issue ukitaka kujua m tafakari proflipoumberf

Napingana na utetezi wako Mkuu tena kwa 100% kwani maisha yangu mengi na pengine ya kila siku au wiki au mwezi huwa nakutana mno na hao wenye PhD zao lakini huwa najiuliza maswali lukuki na sipati majibu kwani wengi wao PhD zao huwa ni za kwenye makaratasi yao / vyeti vyao tu ila yaliyomo katika Ubongo wao ni ' hovyo hovyo ' tupu. Nilitaka baada ya Elimu yangu hii ya QT nikimaliza nianze kusoma Degree yangu kisha niende katika Masters na hatimaye nimalizie na PhD ila kwa jinsi hawa ' Wasomi ' wenu wenye PhD ' wanavyotokota ' Kitaaluma sina hamu tena ya kuendelea kusoma na nitaitumia tu hii hii Elimu yangu ya QT niliyoipata kuweza kuendelea na Kazi zangu binafsi za Ukulima, Uvuvi na Ufugaji.
 
Adrian Stepp

Verified Member
Jul 1, 2011
2,443
2,000
Hivi hawa akina Jenerali walipewa warning letter kweli? Nina imani na mwanasheria msomi Jenerali akiamua kusimama kidete basi tutajua mengi..hata kwenye taratibu za kawaida za kumtimua/ kumsimamisha mfanyakazi kuna mambo lazima yahusike!

Huenda yapo tusio yajua..nadhani muda ni daktari mzuri sana! Ila inakera, kusikitisha na kukatisha tamaa kwa utaratibu huu wa 'fungia fungia'
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,335
2,000
Hivi hawa akina Jenerali walipewa warning letter kweli? Nina imani na mwanasheria msomi Jenerali akiamua kusimama kidete basi tutajua mengi..hata kwenye taratibu za kawaida za kumtimua/ kumsimamisha mfanyakazi kuna mambo lazima yahusike!

Huenda yapo tusio yajua..nadhani muda ni daktari mzuri sana! Ila inakera, kusikitisha na kukatisha tamaa kwa utaratibu huu wa 'fungia fungia'

Nimeipenda sana hii hoja ya huyu Mdau hasa hapa aliposema kwamba..." kama Serikali imelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa kosa la Kitaaluma ambalo limefanywa na Mwandishi husika basi Serikali hiyo hiyo na yenyewe iifungie mara moja Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa makosa yaliyofanywa na Madaktari wake kwa kuwafanyia Wagonjwa wawili Oparesheni za Kimakosa na hadi hivi sasa wamepata Kilema cha maisha kwani hata Udaktari nao ni Taaluma pia kama ilivyo kwa Uandishi wa Habari ".

Jamani Tanzania kuna Watu wanajua Kufikiri na Kujenga Hoja hadi raha hakyanani halafu cha Kushangaza hawana hata hizo sijui PhD's zenu.
 
njang'et

JF-Expert Member
Dec 30, 2014
755
250
Duuh! kama maneno hayo ndo unaona muulizaji ana upeo basi sina shaka kabisa wewe ni bonge la kizibo au mkia.
 
ChaterMaster

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
1,492
2,000
Bongo mwenye elim na asiye na elim wote sawa tuu, tofauti ni mmoja kukaa ofsn kwenye kiyoyoz na mwngine kuungua jua barabara
Ila IQ zao zote sawa
BTW elimu ya kibongo inakufanya kuwa mtumwa wa fikra na mwoga zaidi
 
tongs

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
545
1,000
Hivi hizi ndo PhD kama za yule mwanamziki wa ubongo wa fuleva nani vile lakini? Namkumbuka prof jay, prof majimarefu. Wote hao ni maprof pia
Mara baada ya kufungiwa jana Gazeti la Raia Mwema kwa Siku 90 niliweza kufuatilia mijadala mbalimbali ya Wadau na Watanzania wa kawaida tu ambapo mwishowe nikaja kugundua kwamba kumbe nchin Tanzania kuna Watu hawana hata hizo PhD au Elimu yoyote kubwa lakini pengine wanaweza wakawa wanajua Kufikiri kuliko wenye PhD zao.

Huyu Mdau mmoja ndiyo ama hakika amenifanya sasa niamini kwamba kweli Tanzania ni nchi ya Watu wenye akili, maarifa na upeo mkubwa sana kutokana na jinsi alivyomjibu Kihoja kabisa mwenye PhD yake hasa baada ya huyo mwenye PhD yake ambaye ni Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi hasa pale aliposema kwamba Kufungiwa kwa Gazeti la Raia Mwema kunatokana na Kosa la Kitaaluma.

Ifuatayo ni nukuu ya huyu Mdau ambapo aliamua kumjibu mwenye PhD yake pale tulipokuwa Kijiweni Kwetu jana jioni..." kama Serikali kupitia huyo Msemaji wao Dkt. Hassan Abbasi wanasema kwamba wamelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa Kosa la Kitaaluma wakati ukweli wa Sheria hii mpya ya Vyombo vya Habari iliyosainiwa tulikubaliana kwamba kama ni Kosa la Habari basi adhabu iende moja kwa moja kwa huyo Mwandishi ila Gazeti liachwe. Mbona miaka kadhaa iliyopita kuna Madaktari wa Hospitali ya Muhimbili walifanya Oparesheni ndivyo sivyo ambapo mmoja alifanyiwa ya Kichwa badala ya Mguu na mwingine ya Mguu badala ya Kichwa lakini baadae waliochukuliwa hatua walikuwa ni wale wale Madaktari na si Hospitali nzima ya Muhimbili? Je ni kwanini haki hii hii isiendelee pia hata katika Tasnia nzima ya Uandishi wa Habari ambayo hata na yenyewe ina hadhi sawa na Tasnia ya Udaktari? "

Wenye PhD zenu kama ya Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi karibuni katika uzi huu ili nanyi pia muweze kujibu hoja za huyo Mdau ambaye kiukweli Elimu yake ni ya Kiwango cha chini ili Sisi wanajamvi sasa tuweze kupima kati ya Watanzania wenye PhD na wasio na PhD nani ukweli wana akili na uwezo mkubwa wa kujenga hoja zenye mashiko.

Mimi nisiye na PhD GENTAMYCINE nawasilisha.
 
kadagala1

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
5,881

Naona unamtetea bashite.
 
Kigera Kwetu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
785

Gazeti la Uhuru kila siku linaandika habari za hovyo hovyo......hatujaona huyo msemaji wa serikali akilifungia .......double standard...
 
Bigbon

JF-Expert Member
May 21, 2016
596
1,000
Tofauti kati ya wasomi wa Tz na wasiyakuwa na elimu Tz vyeti vyao wanavyomiliki.Nikimanisha kuwa waliyosoma wana vyeti na wasiyosoma hawana vyeti.Ila kwenye uwezo wa kupambanua mambo au jambo wako sawa tu.
 
ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,313
2,000
Lazima tukubali: PhD za Tanzania ni 'issue' Nyingi kweli ni za hovyo hovyo. Hamkumbuki kwamba hata Mhe Rais Magufui mwenyewe kwenye lile swala la makinikia alihoji ilikuwaje benki kuu ikazembea kiasi hicho kudhibiti dhahabu wakati ina watu 11 wenye PhD?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom