Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza matumizi ya Akili Unde (Artificial Inteligence – AI) ikiwa ni moja ya nyenzo muhimu na ya kisasa katika kukuza mtangamano na kuharakisha maendeleo...
Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia mtu mmoja mwenye umri wa kati ya miaka 35 hadi 40 kwa tuhuma za kujifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kutapeli mamilioni ya fedha...
Hivi kwa nini barabara ya Mpiji Magohe mpaka Mbezi hawajazi kifusi kama barabara ya lami imewashinda? Yaani Barabara imechimbika balaa hata kwa kupita hamna, wahusika tunaomba walione hilo, miezi...
Lilian Akijar (Badi) ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo Kikuu cha Iringa (University of Iringa) kwa sasa lakini Uteuzi wake umeendelea kuzua mijadala ya kimyakimya miongoni mwa viongozi...
Barabara ya Tabata Kimanga for years hazipitiki na ndo mvua zikinyesha tunadumbukia dumbwi kwenye madimbwi iwe barabara kuu au ya bonde la mchicha.
Magari yanaharibika aiseee. Wamemuondoa Mbunge...
Mashirika hasa ya dini kama KKKT na RC pamoja na wawekezaji binafsi watusikie Wazazi wa Dodoma.
Dodoma kuna uhitaji mkubwa sana wa Shule bora za Sekondari za kutwa, kwa sababu Mwakani 2027 Watoto...
Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi.
Imagine tuko magomeni kwenye...
Kwa kawaida mtoto mpaka afike chuo kikuu na kuhitimu tyari anakuwa na umri wa miaka 25 na zaidi.
SWALA hili la elimu ya msingi miaka kumi ni kuzeesha WATANZANIA madarasani na kupotezeana muda...
Kazi ni kwenu
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza rasmi nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya sekondari hadi elimu ya juu, hatua inayolenga...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kuwafikia watu mbalimbali wasiokuwa na uwezo ili kuwapatia huduma za matibabu, ikiwa ni kutimiza azma ya Mheshimiwa Rais katika Dira ya Taifa ya Maendeleo...
1- Dini zote zisimamishwe kwa miaka mitano ili wananchi wajikite ktk kazi
2- Topic zisizokuwa na mashiko kupunguzwa kwenye mihatala
3- Michezo ya kubahatisha ipigwe marufuku
4- Viwanda vya...
Nyakati za asubuhi hapa jijini Dar es salaam kumekuwepo na utaratibu wa Askari wa usalama barabarani (Traffic) wanasimama barabarani hasa maeneo ya Crossway au sehemu zenye mataa ili kudhibiti...
Bana weee! Ule mtaa ulipata Rami mapema MIAKA ya 2000 mtaa wetu ulikuwa tayari ni mjini na magari yalikuwa yanapita Kwa kasi.
Hakukuwahi wekwa matuta MPAKA MWAKA 2026, WATU washagongwa sana...
Yaani mwaka mmoja tu 2027 wakaamua wote kwa pamoja video zao zote wafanyie national parks kama serengeti,zanzibar na mt.kilimanjaro....
Au hawa content creator mnataka kuwapa billion 2 mkawapa...
Tunapoelekea Ashura siku ya alhamis tarehe 25 June 2025 tunakumbuka matukio aliyopitia kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda...
WIZARA YA MAMBO YA NJE KUANDAA UTARATIBU WA KUVUNA MAARIFA YA MABALOZI WASTAAFU
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia hazina ya maarifa na uzoefu kutoka kwa...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia hazina ya maarifa na uzoefu kutoka kwa Mabalozi Wastaafu katika utekelezaji wa mipango mbalimbali ya kuimarisha...
MUHAMMAD ALIKUWA ANAWAPIGA WAKE ZAKE - AISHA NA HAFSA
Muhammad alikuwa na tabia ya kuwapiga wake zake, hususan Aisha na Hafsa.
Sahih Muslim #2127
Ilipokuwa zamu yangu kwa Nabii wa Allah kuwa...
{ ✍️ Simple rule BIG protection }
Mimi mwenyewe ni miongoni mwa watu wanao zikataa dini.
Ila ninacho taka kuwa kumbusha wapinga dini wenzangu ni kwamba.
Tuzikatae DINI zote na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.