Standard Chartered kutoa mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,952
Benki ya Stanbic dada wa standard chartered imejitosa kuokoa sintofahamu ya wanafunzi wa elimu ya juu waliokosa mikopo hiyo ya masomo elimu ya juu.

Hatua hiyo inakuja ili kufufua matumaini ya wanafunzi wenye moyo wa kusoma kwa kuomba mikopo kupitia benki hiyo. Aidha, mikopo itatolewa kwa awamu kwa miaka kwa maana ya mwanafunzi atapewa mkopo wa mwaka kwanza halafu mikopo mengine itaendelea kama atakua amefaulu masomo yake kupitia taarifa zake za maendeleo ya masomo kutoka chuo husika.
 
Benki ya Standard Chartered imejitosa kuokoa sintofahamu ya wanafunzi wa elimu ya juu waliokosa mikopo hiyo ya masomo elimu ya juu.

utaratibu wao please
 
kipindi cha kikwete hatukuhitaji hata bank kufanya hii kitu, kila kitu kilikuwa kinaenda sawa. baada ya kuingia huyu, majuto matupu.
 
Mimi nimesikia kama ni Stanbic.kumbe na standardchartered nao wanatoa pia
 
hao ni sawa na bashite na mkulu. au kwa jina lingine ni sawa na jk na ridhiwani (kitu kimoja mkuu wala usipate shida hayo majina).
 
Mods rekebisha title weka Stanbic bank hapo badala ya standard chartered
 
wanapoteza hela zao maana hao wanafunzi kuna uwezekano mkubwa sana wasije pata kazi tena
Acha wivu kiongozi... Unauhakika watatoa mikopo kwa watu wa taaluma gani?? Au umekalili...
 
Malipo yawe in kind,wakitoka chuo wawaajiri wasilipwe salary bali wapewe hela ya Kula tu mpaka deni liishe.
 
Kimbia kabisa benki hiyo...
Ni hatariii!
Siku wakianza kukudai wanakera mbaya. Utapigiwa simu kila baada ya sekunde mbili.
Hawafai kabisa!
 
Back
Top Bottom