ze real choge
Member
- Sep 28, 2017
- 24
- 9
Najua kila mtu anatambua umuhimu wa maisha, nitazungumza kwa ufupi sana ili nifikishe ujumbe wa kweli.
Tanzania ni nchi yenye kedomokrasi iliyo anza mwaka 1992 na chaguzi za fanya vingi mwaka 1995. Hatuwezi kusema nchi ni ya kidemokrasia bila mfumo wa vyama vingi.
Tanzania inamarais watano ambao tayari wametawala kila rais anamchango wake na hadhara yake.
Hakuna aliye minya demokrasia kama rais ya awamu ya tano, Nyerere hatuwezi kusema chochote maana tulikuwa bado gizani tena nene. Rais bora lazima maisha yawe bora, mishahara mizuri, elimu bora, rushwa hakuna, mauwaji hakuna, demokrasia nzuri bila ukiukwaji ya misingi ya katiba husika na vingene vingi
Rais anasema maisha magumu kwa wale aliowatumbua nafumba macho alfu nasonga mbele maan hakuna aneijua kesho nakaa chini nakumbuka ule msemo wa rais wa awamu ya nne ukiambia kitu changanya na akili zako
Kuongeza mishahara mpaka uchumi wa nchi upande Huku naskia mtaani na habari uchumi wa tanzania umepanda aisee hakuna mtu nchawi kana mnafiki ktak jamiii
Na mengi yakuongea lkni ngoja niishie hapa maan hata gazeti liloandika kuikosea serekari miaka miwili lafungwa hii ndio tanzania na maisha yake kw ujumla
Nakumbka jambo lingine eti ni tanzania tuuu ndio tunatumia katiba ya kikoloni aisee kaà kimya tungoje hatua nyingine