Nkwabichalleslutonja
Member
- Jul 12, 2017
- 84
- 77
nilipata Dada mmoja katika harakati hiz za kuo nikajaribu kuwa nawasiliana sana na mama yake mdongo juu ya suala nzima LA kumuoa hatimaye kweli nikafanikiwa sikuwahi hata kusex nae before namuoa nikajua kama ni mechi nitaichezea nyumbani baada ya kumfikisha nyumbani akawa na Wifi zake mi Niko kazini kwangu nikijua nitapata mda was kwenda home nitamkuta Mara Dada angu ananipingia simu ananiuliza huyu mke wako ni binti au kazaa nikasema ni binti ikaishia hapo kumbe hakurizika ikabidi atumie intelijesia ya juu akamkalisha chini mpaka kasema aliolewa akapata mtoto mmoja baadae wakaachana na akapewa taraka nduu! baada ya kusikia hivyo akiri ilisafir mil kazaa ,nikajua mbinu ya kufanya kwanza sikutaka nikae nae lkn namwachaaje? nyumbani nikawaambia tutawambana sana kwenye mahali ilikusudi tushindane wamchukue kwao kweli wakaja mchezo ukaanza wanataka ng'ombe 9 tukawaambia hatuna ngo'mbe tutatoa pesa hawataki na sisi tukakomaa nao mpaka wakakubali wakafika mpaka laki6 sisi tukawapa lak2 mbili walikanyanga hapa na pale hats elfu kumi hatuongez mwishoni wakachukua nawakamuacha .sasa natafuta njia ya kumuacha mwenye uzoefu na hili tupeane mbinu,mabint wa siku hiz wanazalishwa mapema naukimuona kama so mwenyez huwez ukamngundua