Vyakula vya supermarket vina changamoto gani?

Vyakula vya supermarket vina changamoto gani?

norynkei

New Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
2
Reaction score
2
hivi kwa mtu anaenunua bidhaa kama nyanya,vitunguu,karoti n.k. kwenye supermarket huwa anapata changamoto gani????
maana kuna siku nilinunua unga wa muhogo supermarket na ulikuwa na mchanga balaa. na ukiangalia hizi supermarket ndo zinapata wageni wa nje zaidi kuliko watanzania. sasa tutaonekana hatuna kabisa bidhaa nzuri kutoka hapa nchini.
naombani mawazo yenu wanajamvi na nini tunaweza fanya kuleta mabadiliko katika products zetu zinazopatikana supermarket
 
Kweli suala la ubora bado ni tatizo. Nilikwenda hotel nikaagiza ugali wa muhogo. Nilishindwa kula kwasababu ya mchanga. Walichoniambia ni kwamba walinunua super market. Mara nyingi hili ni tatizo kubwa. Hata sijui wanawezaje kufanya quality control!

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom