Kutana na Mtanzania aliyetengeneza gari la kifahari kwa miezi mitatu

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Kaparata 9.jpg

“Sikubahatika kusoma hata darasa moja kutokana na matatizo ya kifamilia, huu ni utundu wangu ambao nimekuwa nao tangu nikiwa mdogo. Nilianza kutengeneza magari ya kuchezea kwa kutumia mabati, lakini daima ndoto zangu zilikuwa kutengeneza gari langu mwenyewe, nashukuru Mungu ndoto hizo zimetimia,” anasema Jacob.

Soma zaidi hapa => Kutana na Mtanzania aliyetengeneza gari la kifahari kwa miezi mitatu | Fikra Pevu
 
Umeamua kujijibu mwenyewe ili kuvutia wateja kwenye blog yako? nawaza tu kwa sauti.
Ndugu pitia post vizur.. Binafsi similiki hata blog moja na sina ujuzi wala uzoefu wa masuala ya blogging.. So cna cha kuvutia mtu kwangu.. Nimesoma link aliotoa mleta mada..
 
Umeamua kujijibu mwenyewe ili kuvutia wateja kwenye blog yako? nawaza tu kwa sauti.

Ndebile, unakosea. Blogu unayoizungumzia ni Fikra Pevu ambayo ni online portal iliyo chini ya Jamii Media ambayo ndiyo inayomiliki Jamii Forums. Huyo unayemsema wala hahusiani na blogu hiyo wala mtengenezaji wa gari hilo.

Fikra Pevu na Jamii Forums ni kaka na dada. Hivyo kama unaona link inataja Fikra Pevu bado tambua kwamba ni nyumba moja.

Ni taarifa tu kuepuka misinterpretation!
 
View attachment 363478
“Sikubahatika kusoma hata darasa moja kutokana na matatizo ya kifamilia, huu ni utundu wangu ambao nimekuwa nao tangu nikiwa mdogo. Nilianza kutengeneza magari ya kuchezea kwa kutumia mabati, lakini daima ndoto zangu zilikuwa kutengeneza gari langu mwenyewe, nashukuru Mungu ndoto hizo zimetimia,” anasema Jacob.

Soma zaidi hapa => Kutana na Mtanzania aliyetengeneza gari la kifahari kwa miezi mitatu | Fikra Pevu
Gari la kifahari??hongera zake,hawa ndiyo watu wakuwa wajumbe wa Bodi maana wangekuwa wanazungumza vitu wanavyovijua.
 
Mi nasemaga tz watu wenye talents wapo wengi ila wanapuuzwa, sasa huyu jamaa kwa idea yake nzuri but mwisho wake utakuwa hapo hapo sabasaba! Hakuna atakayeshughulika nae tena wakati watu kama hawa wakipewa support wanaweza kufanya mambo makubwa zaidi!
 
Back
Top Bottom