Mstahiki Meya wa manispaa ya kinondoni Benjamin Sita Azindua huduma ya kipesa ya "DCB JIRANI" na "DCB PESA" sambamba na Makumu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Pro. Lucian Msambichaka(kulia) na...
Wadau mkurugenzi ameniteua kwenda kumuwakilisha kwenye mkutano naenda kwa niaba yake.sasa suala inayonipa homa ni kuzungumza mbele ya watu napata shida sana sijazoe yaani naona aibu.je nikipata...
Heshima kwenu Wana-jukwaa
Natumai hamjambo wote Wakuu..
Niende kwenye maada moja kwa moja,,.
Takribani wiki moja imepita toka nipokee ujumbe wa simu ukinijulisha kuwa nimeshinda bahati nasibu...
SEKRETARIETI ya Ajira katika Utumishi wa Umma imebainisha kuwa bado kuna baadhi ya waombaji wa kazi za utumishi wa umma wanaoendelea kughushi sifa za kielimu, taaluma na taarifa binafsi pamoja na...
Habari za asubuhi wana JF
Siyo lengo langu kuwachosha na hadithi nyingi, nifanye nini maishani ili niweze kuishi na kufanya kazi kwenye hiyo address tajwa hapo juu kuanzia mwaka 2025.
Nawasillisha.
Ni muda mrefu nimewaza sana hii kitu na nikafikia hitimisho kuwa kama Serikali haitaweka mkono wake kwenye sekta hii kikamilifu, hii sekta itaendelea kudidimia kila siku badala ya kuchanua na kuwa...
Habari wakuu leo naliongea hili kwa uchungu mkubwa maana tunapoteza nguvu kazi kubwa sana kwa kuwalea wapuuzi. Leo kwenye mtaa wetu kuna mtu ambaye ameathirika anaishi na watoto 6 kati ya umri wa...
Nimesikia story, eti serikali ya nchi ya Ulaya mashariki ina majambazi wake wasiojulikana. Employed kabisa.
Na hao majambazi wapo kwenye payroll wanalipwa mshahara pamoja na posho pale...
Habari wakuu,
Kuna taarifa kutoka Kimara Stop-Over hapa Dar zinaeleza kuwa kuna Watu 9 wamefariki dunia huku wengine kadhaa wakilazwa hospitalini baada ya kunywa pombe haramu aina ya gongo...
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia Bakari Kessy ambaye ni mmiliki wa gari aina ya Fuso lililopinduka na kusababisha vifo vya watu 15 na wengine tisa kujeruhiwa.
Mmiliki huyo wa gari hilo lenye...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limetangaza kuzuia mabasi ya abiria hasa yale ya masafa marefu yapitayo mkoani Shinyanga kutofanya safari baada ya saa 5:00 usiku.
We're still suffering into three pandemic diseases...
Poverty
Ignorance
Diseases
Naiona takwimu mpya inatoka soon kuwa Tanzania ndio nchi inayooongoza kwa watu wake kuwa wajinga wa...
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Luteni mstaafu Abdallah Kihato, akipanda mti katika Ofisi ya Kijiji cha Magoza kama sehemu ya utunzaji wa mazingira pamoja na uzinduzi wa mradi wa Majiko Banifu...
Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya firauni.
Mfuko wa jamii wa PPF ni moja ya mifuko ya ajabu sana duniani, kadhalika Mamlaka inayosimamia mifuko hii ya jamii, SSRA--nayo ni ya ajabu zaidi duniani...
Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya...
Wakuu salam kwenu
Mara kadhaa nimesikia hapa JF msemo wa kwenda Zimbabwe! sikuwahi kujua maana yake ni nini na asili ya msemo huo, na huko Zimbabwe ni wapi? na kama ni msemo wa tafsida maana yake...
Leo jumatano tar 4,October 2017 katika kiwanda cha mafuta ya kupaka PODOA jijini Tanga nimetokea taharuki isiyo na hali ya kawaida.
Inasadikika katika kiwanda hiki kumekuwepo chumba ambacho tangu...
Naamini wengi mlio humu ni viongozi sehemu, popote na mahali mlipo. Kama unaowaongoza hawakuelewi, hawataki, wameshindwa au hawapendi mawazo yako basi badilisha mwelekeo.
Watu wasiojulikana mkoani Morogoro wamempiga rungu kichwani mzee wa miaka 75 na kumkata mkono na kwenda nao kusikojulikana.
Chama cha maalbino na viongozi wa dini mkoani Morogoro wamelaani tukio...