Wakuu salam kwenu
Mara kadhaa nimesikia hapa JF msemo wa kwenda Zimbabwe! sikuwahi kujua maana yake ni nini na asili ya msemo huo, na huko Zimbabwe ni wapi? na kama ni msemo wa tafsida maana yake ni nini?
Heri ziwe nanyi.
Zimbabwe ni nchi yenye maisha magumu sana lakini watu wanaona bora ukaishi huko ujulikane una maisha magumu kuliko kuishi TZ kinafki ukionekana una maisha mazuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.