Kiongozi hubadilika hata kama ana idea njema

Kiongozi hubadilika hata kama ana idea njema

Lotisya

Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
82
Reaction score
36
Naamini wengi mlio humu ni viongozi sehemu, popote na mahali mlipo. Kama unaowaongoza hawakuelewi, hawataki, wameshindwa au hawapendi mawazo yako basi badilisha mwelekeo.
 
Naamini wengi mlio humu ni viongozi sehemu, popote na mahali mlipo. Kama unaowaongoza hawakuelewi, hawataki, wameshindwa au hawapendi mawazo yako basi badilisha mwelekeo.
Hapana mkuu, kama unaamini pasipo shaka kuwa mawazo yako ni sahihi na yanaweza kuwa na future nzuri usikate tamaa. Yasimamie hata kama uko peke yako.

Kongozi anaweza kufanya chochote ila kiongozi bora hawezi kuwa mfuata mkumbo.
 
Hapa Afrika Mashariki hakuna kiongozi aliyejiamini kama Idi Amin Dada, alidai kuwa anajua hata siku yake ya kufa na alipolala aliweza kuwaona ndotoni wenye nia mbaya naye na akiamka ni watu kupotea.

Ulaya hakuna kiongozi aliyejiamini kama Adolf Hitler na kuna wakati alijifananisha na mungu wa Wajerumani akidai alikotaka kuifikisha Ujerumani ni paradiso ingawa iko hapa hapa duniani.

Kwa sasa hakuna kiongozi anayejiamini kama Kim Un-Jung wa Korea Kaskazini, anaamini anaipeleka nchi yake kwenye asali na maziwa na hakuna mwenye mawazo sahihi zaidi yake na ole wako utofautiane naye.

Bila shaka hao niliowataja kwako ndio mfano wa viongozi bora, ubarikiwe sana betlehem.
 
Mkuu Mag3 hao nao hawako sahihi. Unaweza kuwa na misimamo mikali ila kwenye wrong thoughs
 
Naamini wengi mlio humu ni viongozi sehemu, popote na mahali mlipo. Kama unaowaongoza hawakuelewi, hawataki, wameshindwa au hawapendi mawazo yako basi badilisha mwelekeo.
sawa mkuu nimekuelewa
 
Kuongoza black people ni kazi sana,ni laana. Ni wavivu,waongo,wachongezi,wagombanishi,wabishi na wasiopenda kutambua kazi ya mtu mwingine na kuiheshimu. Usibadili idea ila badili style ya kuongoza tu. Mtafika.
 
Back
Top Bottom