Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Matendo yake na maneno yake ni vitu viwili tofauti. Mungu bariki Afrika. Swala la Bashite na DC Arumeru limetufumbua macho watu wengi na tumejifunza mengi kwa ajili ya 2020. Unafiki mtupu. Never...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Habari zenu wadau. Japo ni miaka mingi imepita ningependa kujua baada ya dereva Dumisani Dube kuachiwa huru baada ya kusababisha kifo cha sokoine April 1984, Alielekea wapi? Kama kwao Africa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Jeshi la Kujenga Taifa limerejesha mafunzo kwenye makambi yake matano ya Mpwawa, Makuyuni, Itaka Luwa na Milundikwa yaliyositisha utoaji mafunzo kwa vijana kwa miaka kadhaa, ili kupanua wigo na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimefuatilia mtiririko wa ushahidi uliotolewa leo na mashahidi wanaomtetea Manji akiwemo daktari bingwa wa Magonjwa ya akili wa hospitali ya Temeke ni kwamba mkemia mkuu wa serikali hana kipimo...
18 Reactions
48 Replies
6K Views
Leo tena tuko Kisutu kwenye kesi ya Manji kuhusu madawa ..umeanza upande wa utetezi na shahidi wa kwanza wa upande wa Manji ni doctor, nitawajuza kilichojiri. ===== MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi...
7 Reactions
79 Replies
13K Views
Kampuni ya Quality Group (QGL) limited inayomilikiwa na Yusufu Manji imelaani utaratibu uliotumiwa na kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart kufunga ofisi zake, hivyo inakusudia kuchukua hatua za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tumesikia sasa kitambo ati kampuni za simu zinaweza kukukopesha kwa kupitia simu yako. Hakuna dhamana wala vurugu za kuomba mkopo. Na mkopo huo unaingiziwa katika akaunti yako kama X-Pesa. Tatizo...
4 Reactions
26 Replies
8K Views
Mjumbe hauwawi. Nilikuwa napitia pitia habari kwenye ukurasa wa ITV na kukutana na hii habari. Kwamba, Sirro amewaonya wahalifu waliojihusisha na mauaji kule Kibiti na kukimbilia Mtwara, kuacha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salama humu!? Moja kati ya misafara makini na sensitive ni Msafara wa mkuu wa nchi(Presidential motorcade) Licha ya kujumuisha magari mengi ila pia Barabara zinazoingia main road atakapopita...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukijifunza kusema na kusimamia ukweli, jifunze pia kuishi na kusimama peke yako; maana ni kupitia hili hata ndugu,jamaa na Marafiki watakutenga,watakusaliti na labda wanaweweza thubutu kukuua...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za saa hizi, Kila nikiamka usingizini nikijicheki kwenye kioo sura huwa kama zombie hivi. Nini huwa kinasababisha?
4 Reactions
69 Replies
8K Views
Nawakumbusha tu hapa wote mliopata madaraka kwa njia yoyote ile iwe kwa kuchaguliwa na raia, kuteuliwa au kwa uroho wa madaraka mlifanikiwa kuiba kura ili kushinda uchaguzi kwa nafasi yoyote ya...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Kanisa katoliki lilianzisha college nyingi za vyuo vikuu kimihemuko tu kutafuta pesa wakati hawana walimu na vifaa. Chuo cha Udaktari kama kile cha Songea, Peramiho na Ifakara ni feki. Havina...
2 Reactions
59 Replies
8K Views
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe amesema kuwa serikali itaendelea kuboresha Sheria,kanuni pamoja na kushirikiana na bodi ya filamu kuandaa mikataba bora...
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Mstahiki Meya wa manispaa ya kinondoni Benjamin Sita Azindua huduma ya kipesa ya "DCB JIRANI" na "DCB PESA" sambamba na Makumu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Pro. Lucian Msambichaka(kulia) na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Oktoba 5, 2017 21:00
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau mkurugenzi ameniteua kwenda kumuwakilisha kwenye mkutano naenda kwa niaba yake.sasa suala inayonipa homa ni kuzungumza mbele ya watu napata shida sana sijazoe yaani naona aibu.je nikipata...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Heshima kwenu Wana-jukwaa Natumai hamjambo wote Wakuu.. Niende kwenye maada moja kwa moja,,. Takribani wiki moja imepita toka nipokee ujumbe wa simu ukinijulisha kuwa nimeshinda bahati nasibu...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
SEKRETARIETI ya Ajira katika Utumishi wa Umma imebainisha kuwa bado kuna baadhi ya waombaji wa kazi za utumishi wa umma wanaoendelea kughushi sifa za kielimu, taaluma na taarifa binafsi pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Habari za asubuhi wana JF Siyo lengo langu kuwachosha na hadithi nyingi, nifanye nini maishani ili niweze kuishi na kufanya kazi kwenye hiyo address tajwa hapo juu kuanzia mwaka 2025. Nawasillisha.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom