Kutoka kiwanda cha mafuta(podoa),Tanga

Kutoka kiwanda cha mafuta(podoa),Tanga

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,858
Leo jumatano tar 4,October 2017 katika kiwanda cha mafuta ya kupaka PODOA jijini Tanga nimetokea taharuki isiyo na hali ya kawaida.

Inasadikika katika kiwanda hiki kumekuwepo chumba ambacho tangu miaka nenda rudi hakijawahi kufunguliwa kama inavyosemekana kutoka kwa wafanyakazi wakongwe kiwandani hapo.

Katika purukushani za maongezi hayo moja ya mfanyakazi kiwandani hapo ambaye husemekana ni key keeper aliamua kwenda na kufungua chumba hicho chenye kufungwa muda wote na kuona visivyotakiwa kuonekana....

Akitoa maelezo alipohojiwa alisema alishangaa vitu vyenye sura za kutisha mithili ya majini vikimrukia na kukimbia pasipo na uelekeo maalumu kitendo kilichofanya wafanyakazi wote kiwandani hapo kukimbia na kutapakaa mitaani,
Kwasasa polisi wamesharipoti wakiwa na magari yao ya gas tears kusambaratisha watu,
Bado nasubir kupata taarifa za jikoni zaidi,


Mytake:Hakika ulimwengu wa Giza ndimo tunapopaishi sisi,kwa kampuni kubwa na kongwe ya kutengeneza mafuta ya Babycare na mengineyo mengi kuabudu ushenzi huu aki hakuna atayepona kushiriki madubwasha haya.
God help! Im nonbeliever in darkness powers.
 
Hakika dunia tunayoishi si halisi kama vile macho yetu tunavyoona,
Kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia yanayoifanya dunia tuione kama tuionavyo sasa.


God forbid them.
 
”kuona vitu visivyotakiwa kuonekana" haya bana mdau wa gofu chini
 
Sasa kwa hali sisi wa degree tukijajiri tutatoka kweli kama mambo yenyewe ndio haya.
 
BRO SANTANA, Hakuna biashara mbaya duniani ila kuna biashara bora zaidi(Illegal business).
Uhalali wa kile ukifanyacho utaishia pesa ya Tembele,
Muhindi wa PODOA sio kama ni yeye wa kwanza kutumika hizo makitu,it is a scattered thing to all people who a well succeeded nowadays!
 
Sasa na yeye amefungua cha nini? Haya sasa hata ameshindwa kuona vizuri alichotaka kuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeonaeeeh kafungua tena kaanza kukimbia c angesimama tuu eti mkuu!
 
Naye kwanini kafungua kwa papara si angefanya taratibu hata aji 'selfishe' nao tu ili tuwe na uhakika sasa tutajuaje kama ni kweli kaona viumbe visivyojulikana
 
BRO SANTANA, Hakuna biashara mbaya duniani ila kuna biashara bora zaidi(Illegal business).
Uhalali wa kile ukifanyacho utaishia pesa ya Tembele,
Muhindi wa PODOA sio kama ni yeye wa kwanza kutumika hizo makitu,it is a scattered thing to all people who a well succeeded nowadays!
Wahindi si walikiuza hiki kiwanda Kwa mswahili kama miezi mitatu iliyopita!?
 
Si nilisikia mmoja wa wamiliki wa kiwanda hiki akiitwa Akil,alikufa kwa maradhi yasioweleweka,akiwa ni kijana bado.
 
Huyo jamaa mpuuzi alishindwa kwenda na smartphone
 
Back
Top Bottom