Hiyo namba ukiifuatilia viuri unakuta ni ya jamaa yao,
Huu mchezo siuelewagi aisee,
Hivi hizo namba wanazichaguliaga wapi??
Wanakuaga na nani humo ndani??
anhaaAngalau katika zote hii inaeleweka zaidi japo chochote kinachosimamiwa na binadamu kinategemea uaminifu wa msimamizi