WHY TANZANIA

WHY TANZANIA

ANDREW JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
421
Reaction score
405
We're still suffering into three pandemic diseases...
Poverty
Ignorance
Diseases

Naiona takwimu mpya inatoka soon kuwa Tanzania ndio nchi inayooongoza kwa watu wake kuwa wajinga wa kutotambua haki zao...

Hotuba ya Rais siku ya uzinduz wa Alat ingekua kwa nchi nyingne basi siku ya leo tungezungumza mengine tuuuuu..

Yangekua n maaaandamano endless...

But ujinga wetu ndio unafanya tukenue meno.....

Watumish wa umma wa Tanzania ni wanawake wote na wasiojitambua Yan

Mwanamke anabakwa alaf anawajua wabakaji alaf anaogopa kwenda polisi....

Which kind of men are found in these County brothers????

Yan unatukanwa unachekelea...

Kuna siku atasema kuwa wake zenu wote waje kwangu still tutakenua meno....!!

Shame on us......
 
Mimi nalala nikiamka huu Uzi utakuwa umefutwa, topic nzuri kama hii hazidumu JF.
Ni aibu aibu sana kuwa mtanzania .
Huwa najiuliza au Tanzania ndo kuzimu yenyewe ila labda hatujui tu au ni makazi ya wafu ndo maana taifa limejaa mabwege.
 
Hatupendi ukweli sisi,tunapenda lugha laini ndo maana tunalalamika sana.
 
Back
Top Bottom