1 Barack Obama Street, Dar es Salaam

1 Barack Obama Street, Dar es Salaam

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
16,051
Reaction score
40,598
Habari za asubuhi wana JF

Siyo lengo langu kuwachosha na hadithi nyingi, nifanye nini maishani ili niweze kuishi na kufanya kazi kwenye hiyo address tajwa hapo juu kuanzia mwaka 2025.

Nawasillisha.
 
Hiyo address iko magogoni kaka, kwenye ile nyumba kubwa nyeupe
naipata mkuu, ila huwa sielewi kwa nini vijana wengi wanapenda kazi pale na sio mitaani au vijijini kwao ambapo kuna ombwe kubwa la inputs zao.
nawaza tu sio lazima niwe sahihi.
 
Back
Top Bottom